Yawezekana hayati Magufuli alikuwa anateua watendaji bila kuwahusisha VP na PM?

Mimi sio mataga ila nakuona mshamba tuu.. Maana ungetuliza kichwa ungeelewa.. Hao unaowashabikia ndio walikuchukua utumwani sasa leo ndio wamegeuka malaika.. Ni mjinga tuu ndio anaweza jiaminisha hivyo
Ukubali ukatae wewe ni Taga kama siyo Sukuma gang
 
Kama taifa jiwe ameliboa boa vibaya sana, binafsi natamani hata huko aliko afe tena
 
Hiyo ni conclusion sahihi... Maana kama angekuwa anashauriana nao, naamini Bashiru angesitiliwa, hata mwezi hakumaliza 😂😂
 
Yaani huwa nashangaa mtu kutaja Magufuli bila neno Shetani. Yaani Shetani Magufuli.
 
Kasome maana ya Diplomasia ni nini, sio kazi yangu kukuelewesha. ni matakwa gani ya wazungu ambayo yalkikuwa yanakataliwa ambayo kipindi cha nyuma yaliruhusiwa? unayeshindwa kufikiri ni wewe uliyekuwa brainwashed na jiwe.

Unatolea mfano Marekani hujui Marekani ndio nchi yenye marafiki wengi zaidi dunia hii na influence kubwa ya kisiasa kutokana na kuwa na marafiki hao
 
Mkuu ni kweli kabisa, unapokuwa na marafiki wengi ndivyo inavyokuwa kimaendeleo ni hii si kwa nchi tu bali hata mtu mmoja mmoja. Kama anabisha basi ajifungie kwenye eneo lake pamoja na mabasi na daladala yake yeye na familia yake tuone kama ATATOKA KIMAENDELEO
 
Nauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi

Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena.

Kazi Iendelee!

Kesho ni Pentecoste.
Lile jamaa lilikuwa halifai afadhali limeondoka.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…