denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Hata huyu Trump nae mzee vile vile, Marekani imeishiwa kabisa wagombea urais this time.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyu Trump nae mzee vile vile, Marekani imeishiwa kabisa wagombea urais this time.
Sheria za kubeba silaha zipo america ni tofauti. Haku a kitu kinaitwa gun detector kwenye such enviromentThe shooter was very open... Halafu sio pro... Aliinuka kidogo ndio akapiga risasi ndio maana hakupata target vizuri..
Hakuna gun detector hapo? Au mpaka akisha kuwa Potus ndio kunakuwa na hizo detectors na surveillance cams!??
Usikute alipuuzwa na huenda ndie Ali slow impact au Ali block sehem sahihi iliyotakiwa kutumika ku shoot hadi mlengaji akajikuta kwenye position iliyompa wakati mgumu kushoot straight kwenye kichwaJACK BAUER kwani hakuwepo hapo mkutanoni ? Mpaka trump anapigwa risasi?
In fact mlengaji aliipata Tageti vizuri kabisaa.Usikute alipuuzwa na huenda ndie Ali slow impact au Ali block sehem sahihi iliyotakiwa kutumika ku shoot hadi mlengaji akajikuta kwenye position iliyompa wakati mgumu kushoot straight kwenye kichwa
THe right guy was shot dead right there, unless there is a syndicate. But the approach wont be the same again from secreat service. The shooters had one chance and they blew it...
Tatizo lugha Nyani NgabuHuyo kwenye tweet ni secret service agent. Siyo shooter.
Mgombea anaweza kufa popote hata awe makini namna ganiAiseh hili tukio litaleta shida sana huku africa kwenye chaguzi zijazo!!
Ni rasmi sasa wagombea watakua na uoga kwenye mikutano!
Kwamba uyo Askari alimuona mpigaji kabla ya risasi kufyatuliwa una uhakika na unacho kiwaza?Nawaza kwanini hakuchukua hizo hatua mapema mpaka akasubiri mshambuliaji ampige risasi Trump?
Sheria za kubeba silaha zipo america ni tofauti. Haku a kitu kinaitwa gun detector kwenye such enviroment
Una hakika umelielewa tukio vizuri, au ni mwendo wa kujikomentisha tu kwa hisia?mchezo wa kitoto huu, sniper aliye serious hamkosi hata akiwa umbali wa maili moja na akijuwa anamkosa hapotezi risasi yake kwa ku shoot tu.