Yawezekana Makonda ameiokoa Yanga isiuzwe, na kutuma salamu vilabu vingine?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ndiyo, Manji anataka kuinunua Yanga na pamekuwa na figisufigisu kibao. Naliangalia timbwili hili la vita ya mihadarati kama mtihani kwa wana Yanga juu ya sifa na maadili ya mteja wao mtarajiwa.

Ikumbukwe Yanga ina historia kubwa ikiwepo kuwa kiungo muhimu katika harakati za kudai uhuru. Hivyo ukodishaji wake sharti uendane na kuenzi historia hiyo ukiwemo uzalendo na uadilifu.

Pia vilabu vingine vijifunze kupitia Yanga na hasa namna ya kuwapima wafadhili wao tusifike pahala tukakuta badala ya kusajili wachezaji tunasajili "punda." Mungu ibariki Dar Young Africans na tena Mungu mbariki RC wa Dar, Makonda.
 
Makonda ni simba kulialia na hajamtaja hata mtuhumiwa mmoja kutoka simba kwenye sakata hili
 
Safari ya uturuki kwa wachezaji ili ilikuwa ya upunda,alaf baada ya kurudi mechi ya Tp mazembe vs Yanga kiingilio bure????!makondaaaaa
 
samba ndiyo inayouzwa kwa akina dewji na si yanga
 
Mtoa mada ujui kama kuna tofauti kubwa kati ya kununua na kukodisha
 
Back
Top Bottom