Yawezekana narudia uzi ila next move ya Feisal ni Simba SC

Feitoto ameshinda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mpemba asiyejua kingereza, amemshinda msomali msomi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si ungehojii wakati kabla tamko LA Fei kutolewaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mnalia nn tenaaa??
 
Order imeshatolewaa na kasema apelekewe mrejesho haraka iwezekanavyoooo.

Hersi huko aliko anatafuta documents za mkataba wa Fei, tena wataachana hata bila kukutana livee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shoga unahangaika na Nini ? . Inshu ya dogo Iko CAS unafikiri Maneno ya rais yatatekelezwa kabla kesi kuamliwa na CAS? . Kumbe mtu ukiwa [emoji304][emoji304] hata akiri unakosa !!!!?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu nijieee taratibuuu, mbna povuu jingii hivyoo?? Umevurugwaaa weee?
Poleeeeeeh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu nijieee taratibuuu, mbna povuu jingii hivyoo?? Umevurugwaaa weee?
Poleeeeeeh
Shoga mkuu humi jukwaani . Hebu tupe updates kuhusu OKRAH.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shoga mkuu humi jukwaani . Hebu tupe updates kuhusu OKRAH.[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuko buzzy na order ya mama kuhusu Feisal, wala usinitoe kwenye rail.
Kuhusu Okrah ukifika muda wake atazungumzwaa.

Tena mzoefuu haswaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzoefu wa kunywa gongo labda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dogo anaenda zake uarabuni, preferably Oman kwa wajomba zake
 
Kuna uzi nilishawahi kuupandisha humu kama sio kuuchangia, kuwa zile sarakasi za kipindi kile kuna wana walimchanua kuwa anatumika kidhuluma.,ila next move yake ilikua iwe Simba SC, Azam FC ilikua gharasha tu.

Na iwe na linakua.
hapana simba ni geredha ila fei na peter banda wanaenda azam
 
Rais amewaambia utopolo acheni ujinga wenu mwacheni feitoto aende simba
 
kwani mkataba unasemaje, na Rais anaposema wakalimalize, wakalimalize kinyume na mkataba? ana maanisha nini?

Rais kasema hatiki team kubwa kushindana na katotoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mpemba asiyejua kingereza, amemshinda msomali msomi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Team kubwa haitakiwi kushindana na katoto
Ni fedhehaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…