cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Mpemba asiyejua kingereza, amemshinda msomali msomi.Feitoto ameshinda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpemba asiyejua kingereza, amemshinda msomali msomi.Feitoto ameshinda[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dkk ya 86
Poleeeeeeh wee Fei atashinee tyuuh km kawaaaaKwasasa hana kiwango cha kucheza Yanga.
Yaliyowakuta hakina Domayo, Tshimbimbi, Gadiel, Nyonzima nk ajiandae naye kumkuta.
Si ungehojii wakati kabla tamko LA Fei kutolewaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo ndege sio ya Rais, ni ndege ya kwetu, halafu haya maamuzi ya mtu mmoja inabidi ifike mahali Tanzania tuyakatae. Katiba mpya ndio umuhimu wake nauona hapa, sasa hiyo ndege kwenda algeria na ni ndege ya biashara, ina maana Rais ametoa pesa kugarimia kibiashara au ameamuru tu kwamba ndege ambayo inatakiwa kuingiza pesa kibiashara iende huko? audit ya pesa hizo zinatoka wapi?za mtu binafsi, za taasisi? zinatoka kwa kifungu gani? au ukiwa Rais unaweza kutumia pesa yetu upendavyo?
Order imeshatolewaa na kasema apelekewe mrejesho haraka iwezekanavyoooo.ukweli mchungu ni kwamba, Rais hatakiwi kuingilia timu za mpira, kama anavyoonekana. kama mkataba unasema vingine na dogo anaonyesha kiburi, hatakiwi kutulazimisha kukubaliana naye, tutaweka mfano mbaya. na hapo mchezaji yeyote atakuja na mambo ya kiswahili ya kwenda kinyume na mkataba akijua kuna Rais atamtetea. ili michezo iende mbele hatuhitaji hawa wanasiasa waingilie kwa namna yeyote, na zaidi wengi wanaona anatetewa labda kwasababu ni mzanzibari. kiburi cha huyo dogi kisimchafue hata Rais na Rais ana mambo mengi na ya muhimu kuyafanya kuliko kufualia Faisal. tujifunze hata kwa marais wa nchi zingine tu kama wanaweza kuingilia mambo kama haya.
cha pili, mashirika ya ndege haya ni bora yakataifishwa tu yote, hata bandari taifisha hadi reli taifisha ili private sector ichukue mkondo wake. kukiwa na private sector iliyoshikilia hayo huwezi kuona malalamiko au doubts as to whether malipo yamefanywa au kiongozi fulani kaagiza ndege ipeleke lemutuz Dodoma, au ipeleke utopolo algeria. biashara gani hii? (kama amelipa pesa, Mungu ambariki, ila kama sio, tunaingiliwa wazee). hapo simba nao wanasubiri kuja kupewa ndege, Lipuli wanasubiri, azam wanasubiri, kwasababu ni cha wote, kila mmoja anatakiwa atendewe hivyo hivyo kwasababu umeanzisha. hii ndio sababu tunasema mashirika ya biashara hayatakiwi kusogelewa na wanasiasa kabisa.
pia, hivi kwa viongozi wanaoumiza kichwa kama Magufuli na wengine duniani, hata huo muda wa kufuatilia mpira unaupata wapi? ndio maana tunasema 2025 tunatakiwa kufanya maamuzi ya busara sana kwa ajili ya mwelekeo wa nchi yetu. we need to be more serious than we are now.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu nijieee taratibuuu, mbna povuu jingii hivyoo?? Umevurugwaaa weee?Shoga unahangaika na Nini ? . Inshu ya dogo Iko CAS unafikiri Maneno ya rais yatatekelezwa kabla kesi kuamliwa na CAS? . Kumbe mtu ukiwa [emoji304][emoji304] hata akiri unakosa !!!!?[emoji23][emoji23]
Shoga mkuu humi jukwaani . Hebu tupe updates kuhusu OKRAH.😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu nijieee taratibuuu, mbna povuu jingii hivyoo?? Umevurugwaaa weee?
Poleeeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuko buzzy na order ya mama kuhusu Feisal, wala usinitoe kwenye rail.Shoga mkuu humi jukwaani . Hebu tupe updates kuhusu OKRAH.[emoji23][emoji23]
Mzoefu wa kunywa gongo labda 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuko buzzy na order ya mama kuhusu Feisal, wala usinitoe kwenye rail.
Kuhusu Okrah ukifika muda wake atazungumzwaa.
Tena mzoefuu haswaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Wanzukiii fresh tyuuh mbna, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzoefu wa kunywa gongo labda [emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga wake kakosa medali!!!Anarudi
hapana simba ni geredha ila fei na peter banda wanaenda azamKuna uzi nilishawahi kuupandisha humu kama sio kuuchangia, kuwa zile sarakasi za kipindi kile kuna wana walimchanua kuwa anatumika kidhuluma.,ila next move yake ilikua iwe Simba SC, Azam FC ilikua gharasha tu.
Na iwe na linakua.
Siyo Morogoro road mkuu, inaitwa Mologolo Load.Ndiyo yaani ni kama vile hunapitia hile barabara ya Morogoro road!
Wekeni hela mchukue fei
kwani mkataba unasemaje, na Rais anaposema wakalimalize, wakalimalize kinyume na mkataba? ana maanisha nini?
Mpemba asiyejua kingereza, amemshinda msomali msomi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kufuata taratibu za mkataba..!! Halafu unadhani kwanini huko CAS alikopeleka kesi yake hajaishitaki Yanga?Gongowazi wamepigwa KO, lazima Feisal Salum wamuachie aende anakotaka kwenda.
Labda angekua amekosa kombeUjinga wake kakosa medali!!!