Yawezekana narudia uzi ila next move ya Feisal ni Simba SC

Kuna uzi nilishawahi kuupandisha humu kama sio kuuchangia, kuwa zile sarakasi za kipindi kile kuna wana walimchanua kuwa anatumika kidhuluma.,ila next move yake ilikua iwe Simba SC, Azam FC ilikua gharasha tu.

Na iwe na linakua.
Unamkumbuka Singano ?
 
Jana mama kawapa Yanga makofi matatu kidiplomasia, kazabwa Ghalib akazabwa Hersi, ikazabwa na medali.

. Hawato-thubutu kulipinga neno la mama.

Tuchukulie mgogoro wa Yanga na Fei umekwisha.

Nani kama mama?
 
Yap kiukweli Fei kiwango chake ni cha kawaida Sana na hili wataliona akianza kucheza wengi watadai kalogwa we subiri [emoji38]
 
Rais ametumia uzanzibari kwenye ili suala.

Angeongelea na suala la hakina Manara angalau watu tungeona sawa labda Manara sio Mzamzibari
 
Mnamuuzia nani wakati fei kasema hakuna timu inayomtaka, yeye anavunja mkataba na kipengele cha kuvunja kinamtaka fei alipe hiyo pesa.
Akashtaki anakojua,sisi hatuvunji mkataba mpaka uishe,akae nyumbani Kama hakuna timu inayomtaka,anahangaika nini!?
 
Akashtaki anakojua,sisi hatuvunji mkataba mpaka uishe,akae nyumbani Kama hakuna timu inayomtaka,anahangaika nini!?
Tuone yanga na Rais wa nchi nani zaidi, muda ni hakimu mzuri sana
 
Tim itakayomchukua fei itakua na kazi kubwa sana ya kumjenga tena.na kama watamchukua waluomrubuni hiyo timu imepata jasara kubwa.
 
Team kubwa haitakiwi kushindana na katoto
Ni fedheha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ