Yawezekana narudia uzi ila next move ya Feisal ni Simba SC

Yawezekana narudia uzi ila next move ya Feisal ni Simba SC

Jana mama kawapa Yanga makofi matatu kidiplomasia, kazabwa Ghalib akazabwa Hersi, ikazabwa na medali.

. Hawato-thubutu kulipinga neno la mama.

Tuchukulie mgogoro wa Yanga na Fei umekwisha.

Nani kama mama?
 
Rais amekosea sana, na amekuwa biased, au kwasababu kile kidogo ni kizanzibari? faiza anachotakiwa kuelewa ni kwamba, siasa hazitamsaidia, mimi sijawahi kumkubali hata siku moja afu huwa naona hajui mpira.ndio maana hata nje hawezi kwenda kwasababu ya kichwa cha kamasi kama chake.
Yap kiukweli Fei kiwango chake ni cha kawaida Sana na hili wataliona akianza kucheza wengi watadai kalogwa we subiri [emoji38]
 
Rais amekosea sana, na amekuwa biased, au kwasababu kile kidogo ni kizanzibari? faiza anachotakiwa kuelewa ni kwamba, siasa hazitamsaidia, mimi sijawahi kumkubali hata siku moja afu huwa naona hajui mpira.ndio maana hata nje hawezi kwenda kwasababu ya kichwa cha kamasi kama chake.
Rais ametumia uzanzibari kwenye ili suala.

Angeongelea na suala la hakina Manara angalau watu tungeona sawa labda Manara sio Mzamzibari
 
Mnamuuzia nani wakati fei kasema hakuna timu inayomtaka, yeye anavunja mkataba na kipengele cha kuvunja kinamtaka fei alipe hiyo pesa.
Akashtaki anakojua,sisi hatuvunji mkataba mpaka uishe,akae nyumbani Kama hakuna timu inayomtaka,anahangaika nini!?
 
Tim itakayomchukua fei itakua na kazi kubwa sana ya kumjenga tena.na kama watamchukua waluomrubuni hiyo timu imepata jasara kubwa.
 
Team kubwa haitakiwi kushindana na katoto
Ni fedheha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom