Bapalidako
Member
- Aug 6, 2024
- 79
- 166
Iko hivi kuna watu wengi Sana,wameamua kuachana na doze za dawa wanazotumia wakiwa na imani kwamba, wamepona baada ya kuombewa na Mwamposa na baadhi ya wachungaji wa amakanisa ya kilokole
Hivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au mgonjwa wa presha aachane kutumi dawa baada ya kuombewa? Naamini watu wengi wanakufa kimyakimya majumbani mwao,Selikali isipokuwa makini na haya makanisa kuna nguvu kazi nyingi zinapotea bure kwa kufa huku wachungaji wanatajirika