Bapalidako
Member
- Aug 6, 2024
- 79
- 166
Yaani watalamu wamekaa maabara kwa miaka kupata dawa ya kutibu maradhi halafu mtu anakuaminisha unapona kwa kuombewa kwa dakika moja tu, haiingii akiliniserikali hata isiingilie iwaache tu mpaka akili wananchi zitawakaa sawa!.
wao wakati utawajibu itaingia tu akilini nature hufundisha kwa jasho na damu!,upo muda wataelewa tu!.Yaani watalamu wamekaa maabara kwa miaka kupata dawa ya kutibu maradhi halafu mtu anakuaminisha unapona kwa kuombewa kwa dakika moja tu, haiingii akilini
Naunga mkono hojaserikali hata isiingilie iwaache tu mpaka akili wananchi zitawakaa sawa!.
Sema na wewe unaua sana lugha ya KiswahiliHivi inaingia akilini mgonjwa anayetumia dawa za kufubaza virusi vya ukimwi apone kwa kuombewa tu, au mgonjwa wa presha aachane kutumi dawa baada ya kuombewa? naamini watu wengi wanakufa kimyakimya majumbani mwao,Selikali isipokuwa makini na haya makanisa kuna nguvu kazi nyingi zinapotea bure kwa kufa huku wachungaji wanatajirika
Kwahiyo mungu amepitisha uungu wake kwa Mwamposa?, nyie wafuasi Mwamposa wapuuzi sana.Mimi sio muumini wa Mwamposa au nabii yeyote. Pia si muumini wa mtu yeyote anayechaji pesa yoyote ili akuuzie vifaa vya kiroho.
Ila nina msimamo wangu uko kama swali : Kama yupo Mungu anayeweza kufanya jambo basi huyo MUNGU hawezi kushindwa kufanya jambo lolote, anaweza kumponya magonjwa wa ugonjwa wowote.
Labda kama hukubali uwepo wake hapo sawa. Ila kama anaweza kuumba mtu atashindwa kumponya huyo mtu?
Iko hivi unamuomba Mungu akuponye huku unakunywa dawa, Siyo unamuomba Mungu akuponye halafu unaacha kutumia dawaMimi sio muumini wa Mwamposa au nabii yeyote. Pia si muumini wa mtu yeyote anayechaji pesa yoyote ili akuuzie vifaa vya kiroho.
Ila nina msimamo wangu uko kama swali : Kama yupo Mungu anayeweza kufanya jambo basi huyo MUNGU hawezi kushindwa kufanya jambo lolote, anaweza kumponya magonjwa wa ugonjwa wowote.
Labda kama hukubali uwepo wake hapo sawa. Ila kama anaweza kuumba mtu atashindwa kumponya huyo mtu?
Kwa mfano ile dozi ya malaria inayoitwa Mseto ilivyokuwa chunguWatu hawataki kumeza madawa wanaona bora kuachana nayo ufe, mwamposa ni spurk tu ya kuwapa ujasiri wa kujiua.
Mkuu,Rudia kusoma Ulichoandika.Kumbrainwash Mgonjwa ni Utapeli ambao Serikali inapaswa iingilie kabla Ya Yashakahola hayajaanza...Mimi sio muumini wa Mwamposa au nabii yeyote. Pia si muumini wa mtu yeyote anayechaji pesa yoyote ili akuuzie vifaa vya kiroho.
Ila nina msimamo wangu uko kama swali : Kama yupo Mungu anayeweza kufanya jambo basi huyo MUNGU hawezi kushindwa kufanya jambo lolote, anaweza kumponya magonjwa wa ugonjwa wowote.
Labda kama hukubali uwepo wake hapo sawa. Ila kama anaweza kuumba mtu atashindwa kumponya huyo mtu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio mana Rais Kagame anataka yalipe kodi