Mkuu hapa unakuwa hueleweki sasa, umeuliza kwani Etoo kawahi kubeba Uefa, kwa mpenzi wa mpira huwezi uliza swali kama hilo. Hiki ulichoandika kinasound kama Etoo kabeba Uefa mara moja tu tena akiwa na Inter. Then baada ya kugundua ulivyotaka kutuingiza chaka unakuja na mada nyingine kwamba jamaa hakuwa na msaada wowote pale Inter. Really?!Nilijuwa utasema kabeba mkuu, wakati Diego Millito ndiye alikuwa engine ya inter, wakiwemo na akina sneider, samuel water n.k..huyo etoo alikuwa anasubiri kutengewa tu.inshort hakuwa na msaada!
Aisee.. Tufanye umeshinda.Exactly..maana dinho hata kwenye 10 bora hayumo.
Usipoteze muda kubishana na hao watu.Mkuu hapa unakuwa hueleweki sasa, umeuliza kwani Etoo kawahi kubeba Uefa, kwa mpenzi wa mpira huwezi uliza swali kama hilo. Hiki ulichoandika kinasound kama Etoo kabeba Uefa mara moja tu tena akiwa na Inter. Then baada ya kugundua ulivyotaka kutuingiza chaka unakuja na mada nyingine kwamba jamaa hakuwa na msaada wowote pale Inter. Really?!
Mkuu hapa unakuwa hueleweki sasa, umeuliza kwani Etoo kawahi kubeba Uefa, kwa mpenzi wa mpira huwezi uliza swali kama hilo. Hiki ulichoandika kinasound kama Etoo kabeba Uefa mara moja tu tena akiwa na Inter. Then baada ya kugundua ulivyotaka kutuingiza chaka unakuja na mada nyingine kwamba jamaa hakuwa na msaada wowote pale Inter. Really?!
unapo muongelea mchezaji kama Yaya Toure jaribu kuwa serious kidogo mkuu...acha kufananisha kifo na usingiziVichekesho kabisa. Sasa alitaka nani akae nje ili acheze yeye David Silva? au De bryne ?
Sane ni mzungu?Ukweli mchungu kaka waafrica wengi mno hawawezi kuendana na falsafa za pep inabidi tu tukubali hilo
Rudia kusoma nilivyoandikaSane ni mzungu?
Kwa muktadha huo basi ni sahihi pia kusema Okocha ni bora zaidi ya Ronaldinho?
ILE IMU BWANA MOU ALIISUKA....ULE MSIMU CHAMPIONS LEAGUE BEST PLAYER KATIKA KILA POSITIONWALICHUKUWA WAO, BEST KIPA, DEFENDER, MIDFIELDER NA STRIKER.
unapo muongelea mchezaji kama Yaya Toure jaribu kuwa serious kidogo mkuu...acha kufananisha kifo na usingizi
kweli kabisa mkuu...yaya toure anaiweza mikikimikiki ya epl kushinda silvamaneno yako yapo sahihi kabisa. Silva uwezo wake mwengine kabisa, siwamchezo wa Rugby Premier League. ndio mana mashabiki wa Premier League hamuoni ubora wake.
kweli kabisa mkuu...yaya toure anaiweza mikikimikiki ya epl kushinda silva
Mi niivyowaona vilaza niliwacha mda tu utaumiza kichwa bila sababu ya msingi.Usipoteze muda kubishana na hao watu.
Jamaa walikua wameshona mpaka bench yani, ukilitizama tu bench lao unaanza kutetemeka. kina Mzee Matarazzi na Cordoba, Pendev,
Picha yako please tuone sura yako?Hata mimi Guadiola simpendi maana ni Jeuri sana na ana sura baya kama Bashittez
Malalamishi haya hata Seydou Keita kipindi yupo Barcelona alisema, Pep alikuwa akimsifia sana mazoezini na kumwambia ni mmoja wa viungo wakabaji wazuri. Ila namba akawa hapati, kama kweli anaendana na sifa hizo.
Hadi Keita akamchoka na kumwambia aache kumdhihaki, anakupa sifa tu nafasi ya kucheza hupati
Mimi huwa sidandii maongezi ya watu bila kujua yalipoanzia.Kwani okocha alibeba taji la UEFA Champion league ?