Yaya Toure amshutumu Pep Guadiola kuwa anawabagua wachezaji kutoka Afrika

Nilijuwa utasema kabeba mkuu, wakati Diego Millito ndiye alikuwa engine ya inter, wakiwemo na akina sneider, samuel water n.k..huyo etoo alikuwa anasubiri kutengewa tu.inshort hakuwa na msaada!
Mkuu hapa unakuwa hueleweki sasa, umeuliza kwani Etoo kawahi kubeba Uefa, kwa mpenzi wa mpira huwezi uliza swali kama hilo. Hiki ulichoandika kinasound kama Etoo kabeba Uefa mara moja tu tena akiwa na Inter. Then baada ya kugundua ulivyotaka kutuingiza chaka unakuja na mada nyingine kwamba jamaa hakuwa na msaada wowote pale Inter. Really?!
 
Usipoteze muda kubishana na hao watu.
 
Mkuu hapa unakuwa hueleweki sasa, umeuliza kwani Etoo kawahi kubeba Uefa, kwa mpenzi wa mpira huwezi uliza swali kama hilo. Hiki ulichoandika kinasound kama Etoo kabeba Uefa mara moja tu tena akiwa na Inter. Then baada ya kugundua ulivyotaka kutuingiza chaka unakuja na mada nyingine kwamba jamaa hakuwa na msaada wowote pale Inter. Really?!

Millito
Cambiasso
Luice
Zanetti
Sneider
Samwel walter
N.k

Huyo etoo hatumtambui mkuu..
 
Vichekesho kabisa. Sasa alitaka nani akae nje ili acheze yeye David Silva? au De bryne ?
unapo muongelea mchezaji kama Yaya Toure jaribu kuwa serious kidogo mkuu...acha kufananisha kifo na usingizi
 
Haya maneno hayamsaidii Toure. Mbona last season alicheza sana tu? Huyu nae ana mambo ya kipuuzi. Kuna kipindi "walisahau" kumpa cake ya birthday akataka dunia isimame. African mentality!
 
ILE IMU BWANA MOU ALIISUKA....ULE MSIMU CHAMPIONS LEAGUE BEST PLAYER KATIKA KILA POSITIONWALICHUKUWA WAO, BEST KIPA, DEFENDER, MIDFIELDER NA STRIKER.

Jamaa walikua wameshona mpaka bench yani, ukilitizama tu bench lao unaanza kutetemeka. kina Mzee Matarazzi na Cordoba, Pendev,
 
unapo muongelea mchezaji kama Yaya Toure jaribu kuwa serious kidogo mkuu...acha kufananisha kifo na usingizi

maneno yako yapo sahihi kabisa. Silva uwezo wake mwengine kabisa, siwamchezo wa Rugby Premier League. ndio mana mashabiki wa Premier League hamuoni ubora wake.
 
Hata mimi Guadiola simpendi maana ni Jeuri sana na ana sura baya kama Bashittez
 
maneno yako yapo sahihi kabisa. Silva uwezo wake mwengine kabisa, siwamchezo wa Rugby Premier League. ndio mana mashabiki wa Premier League hamuoni ubora wake.
kweli kabisa mkuu...yaya toure anaiweza mikikimikiki ya epl kushinda silva
 
Jamaa walikua wameshona mpaka bench yani, ukilitizama tu bench lao unaanza kutetemeka. kina Mzee Matarazzi na Cordoba, Pendev,

Hahaha umenikumbusha. Macedonian Hitman Goran pandev....alafu bwana first eleven yake alikuwa unaijua na sub zake pia zilikuwa zajulikana.
 
Malalamishi haya hata Seydou Keita kipindi yupo Barcelona alisema, Pep alikuwa akimsifia sana mazoezini na kumwambia ni mmoja wa viungo wakabaji wazuri. Ila namba akawa hapati, kama kweli anaendana na sifa hizo.

Hadi Keita akamchoka na kumwambia aache kumdhihaki, anakupa sifa tu nafasi ya kucheza hupati

Pale England kama Sterling asingekuwa mwingireza Pep asingempanga...ila anaogopa asipompanga ataipatapata kutokakwenye media za Uingereza
 
Back
Top Bottom