Yaya Toure Names His Best XI in Current Football

Aaah aaaah aaaah... Casillas kweli? Labda atoe casillas, xavi, pique, na alves
 
Bila hata tone la shaka wewe ni shabiki wa Man U
Mkuu chickmaget nitake radhi.. Mimi na man u wapi na wapi.. Nilichojaribu kutizama tu ni kuwa kwa sasa hao wachezaji sio sahihi kuwaweka hapo na kuwaacha watu kama, Thibaut wa Chelsea au neur wa Bayern, wapi thiago silva na mafundi kibao wa hatari..
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwa pique ilibidi akae Nemanja Matic.
 
Huyu sidhani kama huwa anaangalia mpira, huyu huyu Casillas huyu au mdogo wake
 
Golini inabidi akae dogo wa MANU, yule ni moto wa kuotea mbali. Kama si juhudi zake MANU wangekuwa wa 11 kwenye table.

CC: everlenk & utafiti
 
Last edited by a moderator:
Golini inabidi akae dogo wa MANU, yule ni moto wa kuotea mbali. Kama si juhudi zake MANU wangekuwa wa 11 kwenye table.

CC: everlenk & utafiti
Hahaha!!! Hapana chezea De Gea!!! Umeanza mambo yako!!!!! kwa mara ya kwanza J2 alipumzika sana.. Lol
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hata kumueka Drogba jamani...Yaani huyu ndo ambassador wa mpira wetu Africa!!
 
aah ssafi kwa kua ni kikosi chake sio chetu ndio maana ata kassa hayumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…