Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah aaaah aaaah... Casillas kweli? Labda atoe casillas, xavi, pique, na alves
Mkuu chickmaget nitake radhi.. Mimi na man u wapi na wapi.. Nilichojaribu kutizama tu ni kuwa kwa sasa hao wachezaji sio sahihi kuwaweka hapo na kuwaacha watu kama, Thibaut wa Chelsea au neur wa Bayern, wapi thiago silva na mafundi kibao wa hatari..Bila hata tone la shaka wewe ni shabiki wa Man U
Mbona kamsahau Okwi?