Yazidi kunishangaza jinsi gani nchi yetu inaongozwa kwa mazoea ya watu badala ya Sheria ya nchi

Mkandara

Platinum Member
Joined
Mar 3, 2006
Posts
16,161
Reaction score
9,729
Yazidi kunishangaza jinsi gani nchi yetu inaongozwa kwa mazoea ya watu badala ya Sheria ya nchi.

Chukulia hoja hizi tatu (3) zikifuatiwa na majibu yake kisha nambie hiyo Katiba Mpya itaandikwa nini tofauti na Katiba hii iliyopo ili Watu wafuate Sheria badala la Mazoea.

1. HOJA - Chama cha Mapinduzi kinajinadi kuwa na mamlaka ya KUISIMAMIA Serikali. Wamepata mamlaka hayo kutoka wapi?

JIBU SAHIHI - Katiba ibara ya 63 inasema, Bunge ndicho chombo kikuu chenye mamlaka ya kuisimamia na kuishauri Serikali.
Ndani ya Katiba ya Jamhuri na sheria hakuna sura, ibara wala kipengele kinachosema Chama tawala kitaisimamia Serikali.

2. HOJA:- CCM wanasema Chama ndicho KIMEUNDA Serikali inayoongoza nchi. Wametoa wapi madai haya?

JIBU SAHIHI - Katiba ibara ya 51 na 55 inampa rais mamlaka rasmi ya kuunda baraza la mawaziri kwa kuteua Waziri Mkuu, Mawaziri na Manaibu waziri ili kuanzisha rasmi muundo wa kiutendaji wa Serikali. Hakuna sura, ibara wala kipengele chochote kinachosema Chama tawala ndicho chenye mamlaka ya kuunda Serikali.

3. HOJA - CCM wanasema Majeshi yote ya nchi yapo chini ya Chama tawala. Wamapata wapi shinikizo hili?

JIBU SAHIHI - Katiba ibara ya 33(2) inatamka wazi kwamba kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye atakuwa Mkuu wa nchi, kiongozi wa Serikali na Amri jeshi mkuu wa nchi. Kuna ufafanuzi zaidi Ibara ya 148.
Hakuna sura, ibara wala kipengele chochote kinachosema Majeshi ya nchi yatakuwa chini ya Chama tawala.

Ama kweli Katiba ni Kijitabu hata tukiandika Mpya kama watu hawataki kubadilika bado itakuwa Kijitabu laa mtaipambanua kama ni Kitabu tu.

Maasalaam
 
Yazidi kunishangaza jinsi gani nchi yetu inaongozwa kwa mazoea ya watu badala ya Sheria ya nchi.

Chukulia hoja hizi tatu (3) zikifuatiwa na majibu yake kisha nambie hiyo Katiba Mpya itaandikwa nini tofauti na Katiba hii iliyopo ili Watu wafuate Sheria badala la Mazoea.

1. HOJA - Chama cha Mapinduzi kinajinadi kuwa na mamlaka ya KUISIMAMIA Serikali. Wamepata mamlaka hayo kutoka wapi?

JIBU SAHIHI - Katiba ibara ya 63 inasema, Bunge ndicho chombo kikuu chenye mamlaka ya kuisimamia na kuishauri Serikali.
Ndani ya Katiba ya Jamhuri na sheria hakuna sura, ibara wala kipengele kinachosema Chama tawala kitaisimamia Serikali.

2. HOJA:- CCM wanasema Chama ndicho KIMEUNDA Serikali inayoongoza nchi. Wametoa wapi madai haya?

JIBU SAHIHI - Katiba ibara ya 51na 55 inampa rais mamlaka rasmi ya kuunda baraza la mawaziri kwa kuteua Waziri Mkuu, Mawaziri na Manaibu waziri ili kuanzisha rasmi muundo wa kiutendaji wa Serikali. Hakuna sura, ibara wala kipengele chochote kinachosema Chama tawala ndicho chenye mamlaka ya kuunda Serikali.

CCM wanatumia nafasi ya Rais ambae ni mwenyekiti wao kupata nguvu ya kusema yote hayo
 
Kila mtu anaangalia ugali wa kesho sio Rais,mawaziri,wabunge,....wanajeshi,daktari, mwalimu hivyo kila mtu anaangalia apambane na nani kwa level yake achkue nafasi ya aliyejuu yake.
 
CCM wanatumia nafasi ya Rais ambae ni mwenyekiti wao kupata nguvu ya kusema yote hayo
Kama wanatumia nafasi ya rais kwa sababu ndiye Mwenyekiti sio sababu ya msingi kwa sababu rais anachaguliwa na Wananchi ambao wanaweza kuwa chama chochite cha siasa ama hawana hata Chama.

Isitoshe mamlaka ya Chama hayavuki Wanachama wake nje ya hapo hawana mamlaka mengine zaidi ya kuomba ridhaa ya Wananchi.

Wananchi ndio wenye mamlaka juu yao. Huyo rais mbona huteua na kutengua majina ya viongozi, huwaacha na kuwaondoa madarakani hao huwa sio CCM?

Kama tunashindwa kufuata Sheria na hasa kuiheshimu Katiba kuna sababu gani ya kuandika Katiba Mpya ikiwa vyama vinaweza jitungia Sheria za kuongoza nchi kinyume cha Katiba.
 
Yazidi kunishangaza jinsi gani nchi yetu inaongozwa kwa mazoea ya watu badala ya Sheria ya nchi.

Chukulia hoja hizi tatu (3) zikifuatiwa na majibu yake kisha nambie hiyo Katiba Mpya itaandikwa nini tofauti na Katiba hii iliyopo ili Watu wafuate Sheria badala la Mazoea.

1. HOJA - Chama cha Mapinduzi kinajinadi kuwa na mamlaka ya KUISIMAMIA Serikali. Wamepata mamlaka hayo kutoka wapi?

JIBU SAHIHI - Katiba ibara ya 63 inasema, Bunge ndicho chombo kikuu chenye mamlaka ya kuisimamia na kuishauri Serikali.
Ndani ya Katiba ya Jamhuri na sheria hakuna sura, ibara wala kipengele kinachosema Chama tawala kitaisimamia Serikali.

2. HOJA:- CCM wanasema Chama ndicho KIMEUNDA Serikali inayoongoza nchi. Wametoa wapi madai haya?

JIBU SAHIHI - Katiba ibara ya 51na 55 inampa rais mamlaka rasmi ya kuunda baraza la mawaziri kwa kuteua Waziri Mkuu, Mawaziri na Manaibu waziri ili kuanzisha rasmi muundo wa kiutendaji wa Serikali. Hakuna sura, ibara wala kipengele chochote kinachosema Chama tawala ndicho chenye mamlaka ya kuunda Serikali.

3. HOJA - CCM wanasema Majeshi yote ya nchi yapo chini ya Chama tawala. Wamapata wapi shinikizo hili?

JIBU SAHIHI - Katiba ibara ya 33(2) inatamka wazi kwamba kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye atakuwa Mkuu wa nchi, kiongozi wa Serikali na Amri jeshi mkuu wa nchi. Kuna ufafanuzi zaidi Ibara ya 148.
Hakuna sura, ibara wala kipengele chochote kinachosema Majeshi ya nchi yatakuwa chini ya Chama tawala.

Ama kweli Katiba ni Kijitabu hata tukiandika Mpya kama watu hawataki kubadilika bado itakuwa Kijitabu laa mtaipambanua kama ni Kitabu tu.

Maasalaam
Samuya yuko pale kama mwanasesere, Vikwete vinamchezea vitakavyo.
 
Back
Top Bottom