Jimmy Romio
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 367
- 278
zile sehemu zilizopitiwa na mistari zinaoJamani mbona zinaoshwa?!
Kwa mwingine amenambia amesuka Rasta ndogo ndogo kwa elfu 70!
Basi sijui atafumua lini; Kazi ni kwako! Ndio maana hawaachi kujikuna vichwa!
zile sehemu zilizopitiwa na mistari zinao
shwaje? au mnachokonoa kwa tooth pick au pamba za maskioni? zikiwa safi na zimesukwa vimistari viduchu duchu ni tamu sana
Max 2 weeks kukaa na yeboyebo.
yebo 2 weeks sawa,rasta za kusokota mwezi
Hebu tembelea saluni za maana utajua. Acha za Mwenge Dada karibu usuke au Ilala kwa wamasai
nimarufuku demu wangu kwenda kwa wamasai bora nimsuke mwenyewe.