Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yebo 2 weeks sawa,rasta za kusokota mwezi
Hata ungesuka nywele zako wapi..habari ya kukaa week mbili au zaidi bila kuosha nywele jaman lazima zinuke!!!! kwanza hamjui kwamba kiafya kutokuosha kichwa na mwlili kwa ujumla sio vizuri??? how come ukae wiki mbili au zaidi bila kutia kichwa maji...me naboreka kweli na hii tabia ya wadada walio wengi kutokusafisha vichwa vyao kwa kisa eti nywele zitafumuka haraka zikioshwa
Max 2 weeks kukaa na yeboyebo.
hahahahh! kazi kwelikweli!Hahah na usiombee umkute wamemzunguka kichwa kimefichwa na mapaja yao..