Yeboyebo hizi mnzosuka hizi!

kwa taarifa yenu kuna wamasai waliostaarabika siku hizi, wanaoga na kuvaa vizuri kabisa, ila kwa wale wanaotaka kusukwa kwa bei rahisi ndo hao wanaoenda kwa wanuka ugoro!
 
Hata ungesuka nywele zako wapi..habari ya kukaa week mbili au zaidi bila kuosha nywele jaman lazima zinuke!!!! kwanza hamjui kwamba kiafya kutokuosha kichwa na mwlili kwa ujumla sio vizuri??? how come ukae wiki mbili au zaidi bila kutia kichwa maji...me naboreka kweli na hii tabia ya wadada walio wengi kutokusafisha vichwa vyao kwa kisa eti nywele zitafumuka haraka zikioshwa
 

Waambie Mrembo.
 
Ndio maana demu wangu alikua hataki kutoa mtandio kichwani wakati namgonga juzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…