Brother usibishe huo ni uongo kabisa taarifa niko nayo ni zaidi ya elfu 10 mimi niko kwenye group zote brigades watoa taarifa zao hadi vifo vya hamas vinatolewa humo hawafichi kitu tena wanarekod video zipo ambazo hazitizamiki wanajeshi wa Israel wanadhalilishwa sana yaani battle ya ardhini hawawezi wengi ni vijana wadogo mno. Wao kinacho wasaidia ni air force wanadondosha then wanakimbiaHiyo tofauti ya askari 77 ni reasonable katika mazingira ya vita. Kuna wapiganaji huweza kupotea wakadhaniwa wameuawa baadaye wakapatikana, reconciliation ya taarifa, nk.
Tatizo ni ile UONGO wa mtoa mada kuwa askari 10,000 wa Israel wameuawa kwa mujibu wa gazeti la Israel la Yedioth Ahronoth.
My point is, hilo gazeti kweli lipo, lakini hiyo habari feki (fake news) siyo ya hilo gazeti, ameipata kwenye kipeperushi cha UDAKU na propaganda cha huko Uturuki (www.aa.com.tr)
Unaambiwa hakuna Hamas hata mmoja kauwawa wanaouliwa ni wanawake na watoto tu.Viva wana muqawama wa hamas.Wanakumbi.
YERUSALEMU
Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili.
Gazeti la Yedioth Ahronoth lilisema wanajeshi 1,000 wanahamishwa kila mwezi hadi idara ya ukarabati ya Wizara ya Ulinzi kutokana na majeraha waliyopata katika vita vya Gaza.
"Jeshi linakabiliwa na uhaba wa askari wasiopungua 10,000 waliouawa au kujeruhiwa wakati wa miezi mingi ya mapigano katika Ukanda wa Gaza," gazeti la kila siku lilisema.
Gazeti hilo lilikosoa Knesset (bunge la Israeli) kwa kwenda mapumziko ya kiangazi kuanzia Julai 22 hadi katikati ya Oktoba bila kupitisha sheria ya kuongeza utumishi wa lazima wa kijeshi.
"Hakujawa na hali kama hiyo katika historia ya vita vya Israeli ... ambapo askari wanapigana ndani ya ardhi ya adui, chini ya hali mbaya, kwa miezi 10 mfululizo," mama wa mwanajeshi wa Israeli katika Brigedi ya jeshi la Nahal aliiambia Yedioth Ahronoth.
Kulingana na gazeti hilo, wanajeshi wa kike wanaohudumu katika Milima ya Golan ya Syria inayokaliwa na Israel waliarifiwa bila kutarajia kuhusu kuongezwa kwa miezi minne ya ziada ya huduma yao.
Israel, ikikiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano, imekabiliwa na shutuma za kimataifa kutokana na kuendelea na mashambulizi ya kikatili dhidi ya Gaza tangu mashambulizi ya Oktoba mwaka jana na kundi la muqawama la Palestina Hamas.
=====================
JERUSALEM
At least 10,000 Israeli soldiers have been killed and injured since the outbreak of the Gaza conflict last Oct. 7, according to Israeli media on Sunday.
Yedioth Ahronoth newspaper said some 1,000 soldiers are transferred every month to the Defense Ministryโs rehabilitation department due to injuries sustained in the Gaza war.
"The army is suffering from a shortage of at least 10,000 soldiers killed or wounded during the long months of fighting in the Gaza Strip,โ the daily said.
The newspaper criticized the Knesset (Israelโs parliament) for going on summer break from July 22 until mid-October without passing legislation to extend mandatory military service.
โThere has been no such a situation in the history of Israelโs warsโฆwhere soldiers fight inside enemy territory, under unfavorable conditions, for 10 consecutive months,โ the mother of an Israeli soldier in the armyโs Nahal Brigade told Yedioth Ahronoth.
According to the newspaper, female soldiers serving in Israel-occupied Syrian Golan Heights were unexpectedly informed of an additional four-month extension of their service.
Israel, flouting a UN Security Council resolution demanding an immediate cease-fire, has faced international condemnation amid its continued brutal offensive on Gaza since an attack last October by the Palestinian resistance group Hamas.
Habari zaidi bofya hapa chini
๐๐ฝ
Military service of female soldiers in Israel-occupied Golan Heights extended by 4 months, according to Israeli media - Anadolu Ajansฤฑ At least 10,000 Israeli soldiers killed, injured in Gaza war: Report
Jeshi la viwango ganiNachojua. Israel imepata hasara lakini sio wanajeshi 10000. Hiyo ni idadi kubwa sana kwa jeshi la viwango vya israel.
Hawataki kujiunga na jeshi wanajua wanaenda kufa.Unaropoka uongo usiothibitika!??
Six days war Israel ililipua Airbase ya Sinai Egypt na kushambulia Gollan heights kwa ndege basi.
Hakukuwa na full out war.
Ila Israel anajua alichokipata 1973 Yomkippur war jinsi Egypt ilivyomchakaza.
Sasa nayo Hamas kuanzia October 7 imemvunjia jeshi lake mpaka analazimisha raia waingie jeshini.
Hao Hamas tu wana silaha za kuunga unga.
Uongo upo wapi? Hujui lolote jinga kabisa.Hiyo tofauti ya askari 77 ni reasonable katika mazingira ya vita. Kuna wapiganaji huweza kupotea wakadhaniwa wameuawa baadaye wakapatikana, reconciliation ya taarifa, nk.
Tatizo ni ile UONGO wa mtoa mada kuwa askari 10,000 wa Israel wameuawa kwa mujibu wa gazeti la Israel la Yedioth Ahronoth.
My point is, hilo gazeti kweli lipo, lakini hiyo habari feki (fake news) siyo ya hilo gazeti, ameipata kwenye kipeperushi cha UDAKU na propaganda cha huko Uturuki (www.aa.com.tr)
Mdogo mdogo si haba namba inaongezake.Jeshi la viwango gani
Israhell kiwango chake kwenye midia ni A+ ila kwenye uhalisia ni -D bure kabisa
Kukomboa mateka wao wameshindwa mwaka sasa haya hawataki mateka kumaliza vita wameshindwa mwaka sasa
Angalizo israhell anapigana na kaeneo tu
Hapo kapigana na Hamas walio na silaha za kuokoteza.
Je angepigana na jeshi kamili lenye vifaa kama vyake ingekuaje?
Unaambiwa na nani? Wewe ndiyo mvivu wa kutafuta habari mbona Hamas wanatangaza vifo kibao tu vya wanajeshi wao.U
Unaambiwa hakuna Hamas hata mmoja kauwawa wanaouliwa ni wanawake na watoto tu.Viva wana muqawama wa hamas.
Hivi Houthi wako wapi siku hizi?Siwasikii kabisa!
Hamas wamekufa wangapi??Wanakumbi.
YERUSALEMU
Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili.
Gazeti la Yedioth Ahronoth lilisema wanajeshi 1,000 wanahamishwa kila mwezi hadi idara ya ukarabati ya Wizara ya Ulinzi kutokana na majeraha waliyopata katika vita vya Gaza.
"Jeshi linakabiliwa na uhaba wa askari wasiopungua 10,000 waliouawa au kujeruhiwa wakati wa miezi mingi ya mapigano katika Ukanda wa Gaza," gazeti la kila siku lilisema.
Gazeti hilo lilikosoa Knesset (bunge la Israeli) kwa kwenda mapumziko ya kiangazi kuanzia Julai 22 hadi katikati ya Oktoba bila kupitisha sheria ya kuongeza utumishi wa lazima wa kijeshi.
"Hakujawa na hali kama hiyo katika historia ya vita vya Israeli ... ambapo askari wanapigana ndani ya ardhi ya adui, chini ya hali mbaya, kwa miezi 10 mfululizo," mama wa mwanajeshi wa Israeli katika Brigedi ya jeshi la Nahal aliiambia Yedioth Ahronoth.
Kulingana na gazeti hilo, wanajeshi wa kike wanaohudumu katika Milima ya Golan ya Syria inayokaliwa na Israel waliarifiwa bila kutarajia kuhusu kuongezwa kwa miezi minne ya ziada ya huduma yao.
Israel, ikikiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano, imekabiliwa na shutuma za kimataifa kutokana na kuendelea na mashambulizi ya kikatili dhidi ya Gaza tangu mashambulizi ya Oktoba mwaka jana na kundi la muqawama la Palestina Hamas.
=====================
JERUSALEM
At least 10,000 Israeli soldiers have been killed and injured since the outbreak of the Gaza conflict last Oct. 7, according to Israeli media on Sunday.
Yedioth Ahronoth newspaper said some 1,000 soldiers are transferred every month to the Defense Ministryโs rehabilitation department due to injuries sustained in the Gaza war.
"The army is suffering from a shortage of at least 10,000 soldiers killed or wounded during the long months of fighting in the Gaza Strip,โ the daily said.
The newspaper criticized the Knesset (Israelโs parliament) for going on summer break from July 22 until mid-October without passing legislation to extend mandatory military service.
โThere has been no such a situation in the history of Israelโs warsโฆwhere soldiers fight inside enemy territory, under unfavorable conditions, for 10 consecutive months,โ the mother of an Israeli soldier in the armyโs Nahal Brigade told Yedioth Ahronoth.
According to the newspaper, female soldiers serving in Israel-occupied Syrian Golan Heights were unexpectedly informed of an additional four-month extension of their service.
Israel, flouting a UN Security Council resolution demanding an immediate cease-fire, has faced international condemnation amid its continued brutal offensive on Gaza since an attack last October by the Palestinian resistance group Hamas.
Habari zaidi bofya hapa chini
๐๐ฝ
Military service of female soldiers in Israel-occupied Golan Heights extended by 4 months, according to Israeli media - Anadolu Ajansฤฑ At least 10,000 Israeli soldiers killed, injured in Gaza war: Report
Hamas wamekufa wangapi??
Yaani hushangai Gaza ilivyogeuzwa kifusi??
Narudia Tena YESU Aliposema Yeye ni MUNGU!Unakimbia kuniambia ni wapi Yesu alisema Mimi ni Mungu niliyevaa nyama Za binadamu?
Narudia Tena YESU Aliposema Yeye ni MUNGU!
๐๐
John 14:8-9
[8]Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.
[9]Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?
muham mad aka allah naye anakubali YESU ni NENO NA ROHO YA MWENYEZI MUNGU!
Sasa nitajie Mtume au Nabii Aliyetambulishwa Kwa Watu Kuwa yeye ni NENO NA ROHO YA MWENYEZI MUNGU ๐ค
๐๐
: ุฅูุฐู ููุงููุชู ุงููู ูููุงุฆูููุฉู ููุง ู ูุฑูููู ู ุฅูููู ุงูููููู ููุจูุดููุฑููู ุจูููููู ูุฉู ู ูููููู ุงุณูู ููู ุงููู ูุณููุญู ุนููุณูู ุงุจููู ู ูุฑูููู ู ููุฌููููุง ููู ุงูุฏููููููุง ููุงููุขุฎูุฑูุฉู ููู ููู ุงููู ูููุฑููุจูููู
(AL I'MRAN - 45)
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria. kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa.