Yedioth Ahronoth: Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa/kujeruhiwa katika miezi 9 iliyopita ya vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza

Mnajifarij na habar za uongo..ismail yuko na mabikra zake saizi
 
Hiyo tofauti ya askari 77 ni reasonable katika mazingira ya vita. Kuna wapiganaji huweza kupotea wakadhaniwa wameuawa baadaye wakapatikana, reconciliation ya taarifa, nk.

Tatizo ni ile UONGO wa mtoa mada kuwa askari 10,000 wa Israel wameuawa kwa mujibu wa gazeti la Israel la Yedioth Ahronoth.

My point is, hilo gazeti kweli lipo, lakini hiyo habari feki (fake news) siyo ya hilo gazeti, ameipata kwenye kipeperushi cha UDAKU na propaganda cha huko Uturuki (www.aa.com.tr)
Brother usibishe huo ni uongo kabisa taarifa niko nayo ni zaidi ya elfu 10 mimi niko kwenye group zote brigades watoa taarifa zao hadi vifo vya hamas vinatolewa humo hawafichi kitu tena wanarekod video zipo ambazo hazitizamiki wanajeshi wa Israel wanadhalilishwa sana yaani battle ya ardhini hawawezi wengi ni vijana wadogo mno. Wao kinacho wasaidia ni air force wanadondosha then wanakimbia
 
U
Wanakumbi.

YERUSALEMU

Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili.

Gazeti la Yedioth Ahronoth lilisema wanajeshi 1,000 wanahamishwa kila mwezi hadi idara ya ukarabati ya Wizara ya Ulinzi kutokana na majeraha waliyopata katika vita vya Gaza.

"Jeshi linakabiliwa na uhaba wa askari wasiopungua 10,000 waliouawa au kujeruhiwa wakati wa miezi mingi ya mapigano katika Ukanda wa Gaza," gazeti la kila siku lilisema.

Gazeti hilo lilikosoa Knesset (bunge la Israeli) kwa kwenda mapumziko ya kiangazi kuanzia Julai 22 hadi katikati ya Oktoba bila kupitisha sheria ya kuongeza utumishi wa lazima wa kijeshi.

"Hakujawa na hali kama hiyo katika historia ya vita vya Israeli ... ambapo askari wanapigana ndani ya ardhi ya adui, chini ya hali mbaya, kwa miezi 10 mfululizo," mama wa mwanajeshi wa Israeli katika Brigedi ya jeshi la Nahal aliiambia Yedioth Ahronoth.

Kulingana na gazeti hilo, wanajeshi wa kike wanaohudumu katika Milima ya Golan ya Syria inayokaliwa na Israel waliarifiwa bila kutarajia kuhusu kuongezwa kwa miezi minne ya ziada ya huduma yao.

Israel, ikikiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano, imekabiliwa na shutuma za kimataifa kutokana na kuendelea na mashambulizi ya kikatili dhidi ya Gaza tangu mashambulizi ya Oktoba mwaka jana na kundi la muqawama la Palestina Hamas.
=====================

JERUSALEM

At least 10,000 Israeli soldiers have been killed and injured since the outbreak of the Gaza conflict last Oct. 7, according to Israeli media on Sunday.

Yedioth Ahronoth newspaper said some 1,000 soldiers are transferred every month to the Defense Ministry’s rehabilitation department due to injuries sustained in the Gaza war.

"The army is suffering from a shortage of at least 10,000 soldiers killed or wounded during the long months of fighting in the Gaza Strip,” the daily said.

The newspaper criticized the Knesset (Israel’s parliament) for going on summer break from July 22 until mid-October without passing legislation to extend mandatory military service.

“There has been no such a situation in the history of Israel’s wars…where soldiers fight inside enemy territory, under unfavorable conditions, for 10 consecutive months,” the mother of an Israeli soldier in the army’s Nahal Brigade told Yedioth Ahronoth.

According to the newspaper, female soldiers serving in Israel-occupied Syrian Golan Heights were unexpectedly informed of an additional four-month extension of their service.

Israel, flouting a UN Security Council resolution demanding an immediate cease-fire, has faced international condemnation amid its continued brutal offensive on Gaza since an attack last October by the Palestinian resistance group Hamas.

Habari zaidi bofya hapa chini
👇🏽

Military service of female soldiers in Israel-occupied Golan Heights extended by 4 months, according to Israeli media - Anadolu Ajansı At least 10,000 Israeli soldiers killed, injured in Gaza war: Report
Unaambiwa hakuna Hamas hata mmoja kauwawa wanaouliwa ni wanawake na watoto tu.Viva wana muqawama wa hamas.
Hivi Houthi wako wapi siku hizi?Siwasikii kabisa!
 
1722850545553.jpeg
 
Scripts from masjid ubwabwa in which the source is also the main contributor showing how unrealistic the information is.
 
Nachojua. Israel imepata hasara lakini sio wanajeshi 10000. Hiyo ni idadi kubwa sana kwa jeshi la viwango vya israel.
Jeshi la viwango gani
Israhell kiwango chake kwenye midia ni A+ ila kwenye uhalisia ni -D bure kabisa
Kukomboa mateka wao wameshindwa mwaka sasa haya hawataki mateka kumaliza vita wameshindwa mwaka sasa
Angalizo israhell anapigana na kaeneo tu
 
Unaropoka uongo usiothibitika!??
Six days war Israel ililipua Airbase ya Sinai Egypt na kushambulia Gollan heights kwa ndege basi.
Hakukuwa na full out war.
Ila Israel anajua alichokipata 1973 Yomkippur war jinsi Egypt ilivyomchakaza.
Sasa nayo Hamas kuanzia October 7 imemvunjia jeshi lake mpaka analazimisha raia waingie jeshini.
Hao Hamas tu wana silaha za kuunga unga.
Hawataki kujiunga na jeshi wanajua wanaenda kufa.

View: https://x.com/suppressednws/status/1820395398550135065?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hiyo tofauti ya askari 77 ni reasonable katika mazingira ya vita. Kuna wapiganaji huweza kupotea wakadhaniwa wameuawa baadaye wakapatikana, reconciliation ya taarifa, nk.

Tatizo ni ile UONGO wa mtoa mada kuwa askari 10,000 wa Israel wameuawa kwa mujibu wa gazeti la Israel la Yedioth Ahronoth.

My point is, hilo gazeti kweli lipo, lakini hiyo habari feki (fake news) siyo ya hilo gazeti, ameipata kwenye kipeperushi cha UDAKU na propaganda cha huko Uturuki (www.aa.com.tr)
Uongo upo wapi? Hujui lolote jinga kabisa.

View: https://x.com/globeeyenews/status/1820040267468271664?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Yaani wewe upo Rungwe unapingana na Waisrael wenyewe.

The names of tens of thousands of Israeli soldiers are listed among the dead or wounded in the ongoing conflict in the Gaza Strip, as per Israeli newspaper Yedioth Ahronoth.

In a report published today, Sunday, the Israeli newspaper revealed that at least 10,000 Israeli soldiers have been killed or injured during the prolonged months of combat in the Gaza Strip.

The newspaper highlighted that approximately a thousand soldiers are added to the ranks of those physically and mentally wounded in the Israeli military's rehabilitation department each month, according to departmental data.

Despite these staggering numbers, both the Knesset and the government have proceeded with redrafting and passing legislation to extend mandatory military service, leaving regular soldiers in a state of significant frustration, as per Israeli media.
 
U

Unaambiwa hakuna Hamas hata mmoja kauwawa wanaouliwa ni wanawake na watoto tu.Viva wana muqawama wa hamas.
Hivi Houthi wako wapi siku hizi?Siwasikii kabisa!
Unaambiwa na nani? Wewe ndiyo mvivu wa kutafuta habari mbona Hamas wanatangaza vifo kibao tu vya wanajeshi wao.

Wayemen wamefunga Red Sea wewe utawasikia wapi BBC au CNN?

Marekani katoa kila ofa pamoja na ahadi kibao waache vita na wasishambulie meli Yemen wamemwambia sisi hatutaki chochote kutoka kwenu waambie Israel waondoke Gaza na sisi tutaacha vita😀
 
Wanakumbi.

YERUSALEMU

Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili.

Gazeti la Yedioth Ahronoth lilisema wanajeshi 1,000 wanahamishwa kila mwezi hadi idara ya ukarabati ya Wizara ya Ulinzi kutokana na majeraha waliyopata katika vita vya Gaza.

"Jeshi linakabiliwa na uhaba wa askari wasiopungua 10,000 waliouawa au kujeruhiwa wakati wa miezi mingi ya mapigano katika Ukanda wa Gaza," gazeti la kila siku lilisema.

Gazeti hilo lilikosoa Knesset (bunge la Israeli) kwa kwenda mapumziko ya kiangazi kuanzia Julai 22 hadi katikati ya Oktoba bila kupitisha sheria ya kuongeza utumishi wa lazima wa kijeshi.

"Hakujawa na hali kama hiyo katika historia ya vita vya Israeli ... ambapo askari wanapigana ndani ya ardhi ya adui, chini ya hali mbaya, kwa miezi 10 mfululizo," mama wa mwanajeshi wa Israeli katika Brigedi ya jeshi la Nahal aliiambia Yedioth Ahronoth.

Kulingana na gazeti hilo, wanajeshi wa kike wanaohudumu katika Milima ya Golan ya Syria inayokaliwa na Israel waliarifiwa bila kutarajia kuhusu kuongezwa kwa miezi minne ya ziada ya huduma yao.

Israel, ikikiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano, imekabiliwa na shutuma za kimataifa kutokana na kuendelea na mashambulizi ya kikatili dhidi ya Gaza tangu mashambulizi ya Oktoba mwaka jana na kundi la muqawama la Palestina Hamas.
=====================

JERUSALEM

At least 10,000 Israeli soldiers have been killed and injured since the outbreak of the Gaza conflict last Oct. 7, according to Israeli media on Sunday.

Yedioth Ahronoth newspaper said some 1,000 soldiers are transferred every month to the Defense Ministry’s rehabilitation department due to injuries sustained in the Gaza war.

"The army is suffering from a shortage of at least 10,000 soldiers killed or wounded during the long months of fighting in the Gaza Strip,” the daily said.

The newspaper criticized the Knesset (Israel’s parliament) for going on summer break from July 22 until mid-October without passing legislation to extend mandatory military service.

“There has been no such a situation in the history of Israel’s wars…where soldiers fight inside enemy territory, under unfavorable conditions, for 10 consecutive months,” the mother of an Israeli soldier in the army’s Nahal Brigade told Yedioth Ahronoth.

According to the newspaper, female soldiers serving in Israel-occupied Syrian Golan Heights were unexpectedly informed of an additional four-month extension of their service.

Israel, flouting a UN Security Council resolution demanding an immediate cease-fire, has faced international condemnation amid its continued brutal offensive on Gaza since an attack last October by the Palestinian resistance group Hamas.

Habari zaidi bofya hapa chini
👇🏽

Military service of female soldiers in Israel-occupied Golan Heights extended by 4 months, according to Israeli media - Anadolu Ajansı At least 10,000 Israeli soldiers killed, injured in Gaza war: Report
Hamas wamekufa wangapi??
Yaani hushangai Gaza ilivyogeuzwa kifusi??
 
Unakimbia kuniambia ni wapi Yesu alisema Mimi ni Mungu niliyevaa nyama Za binadamu?
 
Narudia Tena YESU Aliposema Yeye ni MUNGU!
👇👇
John 14:8-9
[8]Filipo akamwambia, Bwana, utuonyeshe Baba, yatutosha.

[9]Yesu akamwambia, Mimi nimekuwapo pamoja nanyi siku hizi zote, wewe usinijue, Filipo? Aliyeniona mimi amemwona Baba; basi wewe wasemaje, Utuonyeshe Baba?

muham mad aka allah naye anakubali YESU ni NENO NA ROHO YA MWENYEZI MUNGU!
Sasa nitajie Mtume au Nabii Aliyetambulishwa Kwa Watu Kuwa yeye ni NENO NA ROHO YA MWENYEZI MUNGU 🎤
👇👇
: إِذْ قَالَتِ الْمَلَائِكَةُ يَا مَرْيَمُ إِنَّ اللَّهَ يُبَشِّرُكِ بِكَلِمَةٍ مِّنْهُ اسْمُهُ الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ وَجِيهًا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَمِنَ الْمُقَرَّبِينَ

(AL I'MRAN - 45)
Na pale Malaika walipo sema: Ewe Maryamu! Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria. kwa neno litokalo kwake. Jina lake ni Masihi Isa mwana wa Maryamu, mwenye hishima katika dunia na Akhera, na miongoni mwa walio karibishwa.
 
Unaleta maneno ya sijui Filipo akamwambia , huyo anayesema hapo unamjua wewe na kanisa lako hayo si maneno ya Yesu

Maneno ya alimwambia babu Flipo au babu Paulo , na hadithi za Hapo mwanzo kulikuwa na neno, hizo hadithi wapeni hao vipofu wenzenu kanisani

Mimi nataka kumsikia Yesu mwenyewe anasema mimi ni mungu niliyevaa mwili wa kibinaadamu , sio umsemee wewe na , wazee wa kanisa lako

Nilikuambia Lete maneno ya Yesu mwenyewe anasema Mimi Yesu ni mungu niliyevaa nyama za kibinaadamu ??
 
Back
Top Bottom