Yedioth Ahronoth: Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa/kujeruhiwa katika miezi 9 iliyopita ya vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza


"Aliyeniona mimi amemwona baba."

Wacha tuangalie muktadha: ( context ).

“Filipo akamwambia, Bwana, tuonyeshe Baba, nasi yatutosha. Baba; nawe wasemaje basi, Utuonyeshe Baba?

Yohana 14:8-9

Filipo alitaka kumwona Mungu kwa macho yake mwenyewe, lakini hii haiwezekani kwa kuwa hakuna mtu anayeweza kufanya hivyo. Biblia inasema:

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote,"

Yohana 1:18

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote,"

1 Yohana 4:12

"Na Baba mwenyewe aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamjaiona."

Yohana 5:37

Lakini walikuwa wakisikiliza sauti ya Yesu na kumtazama akiwa amesimama mbele yao! Yesu alikuwa anatuambia tu kwamba matendo yake mwenyewe na miujiza inapaswa kuwa uthibitisho wa kutosha wa kuwepo kwa Mungu bila Mungu kushuka kimwili na kujiruhusu kuonekana . Hii ni sawa na kwa mfano:

1)Yohana 8:19: "Wakamwambia, Baba yako yuko wapi? Yesu akajibu, Ninyi hamnijui mimi wala Baba yangu; kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba yangu."

2)Yohana 12:44 "Yesu akapaza sauti, akasema, Yeye aniaminiye mimi, haniamini mimi, bali yeye aliyenipeleka."

3)Yohana 15:23 "Yeye anichukiaye mimi anamchukia na Baba yangu."

4)Mathayo 10:40-41 "Awapokeaye ninyi, anipokea mimi (Yesu), naye anipokeaye mimi, ampokea yeye aliyenituma. Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki."
 
Unakimbia kuniambia ni wapi Yesu alisema Mimi ni Mungu niliyevaa nyama Za binadamu?
Wafilipi 2:5-11

[5]Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu;

[6]ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho;

[7]bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu;

[8]tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.

[9]Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;

[10]ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;

[11]na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.


Mwanzo 8:20-21


[20]Nuhu akamjengea BWANA madhabahu; akatwaa katika kila mnyama aliye safi, na katika kila ndege aliye safi, akavitoa sadaka za kuteketezwa juu ya madhabahu.

[21]BWANA akasikia harufu ya kumridhisha; BWANA akasema moyoni, Sitailaani nchi tena baada ya hayo kwa sababu ya wanadamu, maana mawazo ya moyo wa mwanadamu ni mabaya tangu ujana wake; wala sitapiga tena baada ya hayo kila kilicho hai kama nilivyofanya.
 

Bado unaniletea maneno yaliyotamkwa na watu wasiojulikana
Niwekee maneno ya Yesu akinukuliwa akisema Mimi Yesu ni Mungu nimechukuwa mwili wa mwanadamu
 
Bado unaniletea maneno yaliyotamkwa na watu wasiojulikana
Niwekee maneno ya Yesu akinukuliwa akisema Mimi Yesu ni Mungu nimechukuwa mwili wa mwanadamu
Nimeuliza swali la msingi hapo juu ,utanijibu tuanzie hapo
 
Nimeuliza swali la msingi hapo juu ,utanijibu tuanzie hapo

Hapo sioni swali ila umeweka maneno ambayo tunaambiwa yameandikwa na Paulo ambayo hayana uthibitisho kuwa ni Paulo gani kaandika, baadaye ukaleta maneno yasiyojulikana mwandishi wake ya John 1:1 ambayo yamenukuliwa kutoka kwa Philo wa Alexandria. Mimi nilitaka uniwekee maneno ya Yesu akinukuliwa akisema Mimi Yesu ni Mungu wenu niliyevaa nyama Za binadamu
 
Sawa
 
Unaambiwa hamas na hizbollah wamekufa wapiganaji mia tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…