Yedioth Ahronoth: Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa/kujeruhiwa katika miezi 9 iliyopita ya vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza

Yedioth Ahronoth: Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa/kujeruhiwa katika miezi 9 iliyopita ya vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza

Acha ujinga wewe.
Toka lini UTURUKI inamiliki chombo cha habari kinachoitwa TIMES OF ISRAEL!??
Hiko ni chombo cha Israel utake USITAKE.
Mbona wewe ndo jinga pro?!!

Hiyo Times of Israel umeitoa wapi?

Chanzo cha taarifa ya mtoa mada alichoweka ni kigazeti cha Udaku cha Turkiye, hiki hapa:
 
Wamesema wenyewe akina nani?
Hicho ni kigazeti uchwara cha UDAKU na propaganda cha huko nchini Uturuki, angalia vizuri
Wewe punguani kweli unapigana na Yedioth Ahronoth? Ngoja nikupe darasa kiidogo mpo JF kubisha hata hao mabwana zenu mnawatetea bila kuwajua.

Yediot Achronot (Kiebrania: יְדִיעוֹת אַחֲרוֹנוֹת, hutamkwa jediˈ(ʔ)ot aχ(a)ʁoˈnot] lit. "Habari Za Hivi Punde") ni gazeti la kila siku la Israeli linalochapishwa huko Tel Aviv. Ilianzishwa mwaka wa 1939, wakati Tel Aviv ilipokuwa sehemu ya Palestina ya Lazima, Yedioth Ahronoth ni gazeti kubwa zaidi la Israeli linalolipwa kwa mauzo na usambazaji na limeelezewa kama "bila shaka karatasi nambari moja ya nchi." Inachapishwa katika muundo wa tabloid.
 
Mbona wewe ndo jinga pro?!!

Hiyo Times of Israel umeitoa wapi?

Chanzo cha taarifa ya mtoa mada alichoweka ni kigazeti cha Udaku cha Turkiye, hiki hapa:
Unaona ulivyo mjinga!?
Chanzo alicholeta mtoa mada ni cha YEDIOTH pia mimi nilileta chanzo cha habari cha TIMES OF ISRAEL.
Kwa hiyo YEDIOTH nacho chombo cha Uturuki!??
JINGA kabisa wewe.
 
Mbona wewe ndo jinga pro?!!

Hiyo Times of Israel umeitoa wapi?

Chanzo cha taarifa ya mtoa mada alichoweka ni kigazeti cha Udaku cha Turkiye, hiki hapa:
Mkiitwa punguani mnachukia Yedioth Ahronoth Jarida la Uturuki?

View: https://x.com/globeeyenews/status/1820040267468271664?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Unaona ulivyo mjinga!?
Chanzo alicholeta mtoa mada ni cha YEDIOTH pia mimi nilileta chanzo cha habari cha TIMES OF ISRAEL.
Kwa hiyo YEDIOTH nacho chombo cha Uturuki!??
JINGA kabisa wewe.
Majinga haya yapo JF kubishana tu hajui hata Yedioth Ahronoth.
 
Hizi taarifa za kuokoteza mitandaoni zinaandikwa na pimbi wajinga sana kama wewe. Leta habari kutoka kwenye vyanzo vinavyoaminika
Jinga lingine hili hapo lipo Ngudu linapiga.

The names of tens of thousands of Israeli soldiers are listed among the dead or wounded in the ongoing conflict in the Gaza Strip, as per Israeli newspaper Yedioth Ahronoth.

In a report published today, Sunday, the Israeli newspaper revealed that at least 10,000 Israeli soldiers have been killed or injured during the prolonged months of combat in the Gaza Strip.

The newspaper highlighted that approximately a thousand soldiers are added to the ranks of those physically and mentally wounded in the Israeli military's rehabilitation department each month, according to departmental data.

Despite these staggering numbers, both the Knesset and the government have proceeded with redrafting and passing legislation to extend mandatory military service, leaving regular soldiers in a state of significant frustration, as per Israeli media.
 
Hizi taarifa za kuokoteza mitandaoni zinaandikwa na pimbi wajinga sana kama wewe. Leta habari kutoka kwenye vyanzo vinavyoaminika
Hii nayo vipi!?
Screenshot_2024-08-04-19-40-51-75_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Ingekuwa kama tarehe 5 hadi 10 June 1967 wafuga majini wanaelewa NAKSAH kilichotokea siku 6 kazi imeisha! Ndiyo maana hadi leo wafuga majini hawataki conventional warfare na myahudi wala mzungu, wao ni vita ya kihuni ya kigaidi, kuvaa hijabu kuficha nyuso zao na kutumia watoto na wanawake kama ngao na kuweka kambi hospitali na nursery school wanajificha kama panya ardhini, kiongozi wa Hamas hata sura hataki kuonekana kwa uwoga total coward.
Hapo kapigana na Hamas walio na silaha za kuokoteza.
Je angepigana na jeshi kamili lenye vifaa kama vyake ingekuaje?
 
Wameuwa/kujeruhiwa!! Utakuta wamejeruhiwa 9600 wamekufa 300! Na bado wapo Gaza hawajakimbia. Na Netanyahu kila mara anatembelea Gaza. Wakati Yahaya Sinwar wa Hamas kajificha wamejichimbia mashimoni walitoka wameficha nyuso kuvizia na kurudi mashimoni wakimuogopa myahudi!!.
 
Kwa kusema tu gazeti fulani liliandika hivi na vile, tapeli yeyote anaweza kutunga uongo anaotaka.

Tuwekee link ya taarifa ya gazeti la Yedioth Ahronoth kuhusu hayo mnayosema tuone.

Mtu akikwambia kuwa gazeti la Nipashe liliandika kuwa: halafu akatunga uongo, ni tofauti na akiweka link ya taarifa uisome ili kujiridhisha.

Ni kweli gazeti la Nipashe lipo lakini taarifa unayoambiwa inaweza kuwa ya mchongo.

Habari ya gazeti la Times of Israel, juu ya hayo mauaji na majeruhi, ambayo waweza fungua link ukasoma mwenyewe ni hii hapa..

The Israel Defense Forces has published the names of 689 soldiers, officers and reservists — several dozen of whom are local security officers — killed during the ongoing war with Palestinian terrorists since October 7, about half of them on the border with the Gaza Strip during the terror onslaught, and at least 329 during a ground offensive in the Hamas-run territory and amid operations on the border.

Meanwhile, the Israel Police has listed 58 officers who were killed confronting the terrorists on the Gaza border, an officer killed during a hostage rescue operation in the Strip, an officer killed in a terror attack in Jerusalem, and three other officers killed during clashes with terror operatives in the West Bank.

Approximately 1,200 people were killed as Hamas terrorists in Gaza launched a war on Israel on the morning of October 7, infiltrating towns, rampaging through military positions, shooting travelers dead on roads and in their homes and firing thousands of rockets at a wide swath of the country in a shocking assault.

Terrorists also dragged 251 civilians and soldiers into Gaza.

Eighteen soldiers and a local security officer have also been killed in attacks claimed by the Hezbollah and Palestinian Islamic Jihad terror groups on the border with Lebanon since the fighting started. Nine soldiers were killed in terror attacks in the West Bank and Israel. Two soldiers were killed during a counter-terrorism operation in the West Bank.

The military’s list also includes a soldier killed by friendly fire in the West Bank, a soldier killed due to malfunctioning ammunition on the Lebanon border, two soldiers killed in a tank accident in northern Israel, and a number of other deadly incidents amid the war but not directly related to the fighting....
 
Hii nayo unasemaje!??
Kwa hiyo magazeti mengine yanaongoza ila Israel hawaongopi!?
Times of Israel siwalaumu kwasababu ripoti wanapewa na IDF.
Hiyo inasema 689 ila hii inasema 766 which is which!???
MKIAMBIWA Israel wanapika takwimu za vifo mnakataa.
Screenshot_2024-08-04-22-12-13-58_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-04-22-17-28-70_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Ingekuwa kama tarehe 5 hadi 10 June 1967 wafuga majini wanaelewa NAKSAH kilichotokea siku 6 kazi imeisha! Ndiyo maana hadi leo wafuga majini hawataki conventional warfare na myahudi wala mzungu, wao ni vita ya kihuni ya kigaidi, kuvaa hijabu kuficha nyuso zao na kutumia watoto na wanawake kama ngao na kuweka kambi hospitali na nursery school wanajificha kama panya ardhini, kiongozi wa Hamas hata sura hataki kuonekana kwa uwoga total coward.
Unaropoka uongo usiothibitika!??
Six days war Israel ililipua Airbase ya Sinai Egypt na kushambulia Gollan heights kwa ndege basi.
Hakukuwa na full out war.
Ila Israel anajua alichokipata 1973 Yomkippur war jinsi Egypt ilivyomchakaza.
Sasa nayo Hamas kuanzia October 7 imemvunjia jeshi lake mpaka analazimisha raia waingie jeshini.
Hao Hamas tu wana silaha za kuunga unga.
 
Hiyo inasema 689 ila hii inasema 766 which is which!???
Hiyo tofauti ya askari 77 ni reasonable katika mazingira ya vita. Kuna wapiganaji huweza kupotea wakadhaniwa wameuawa baadaye wakapatikana, reconciliation ya taarifa, nk.

Tatizo ni ile UONGO wa mtoa mada kuwa askari 10,000 wa Israel wameuawa kwa mujibu wa gazeti la Israel la Yedioth Ahronoth.

My point is, hilo gazeti kweli lipo, lakini hiyo habari feki (fake news) siyo ya hilo gazeti, ameipata kwenye kipeperushi cha UDAKU na propaganda cha huko Uturuki (www.aa.com.tr)
 
Hiyo tofauti ya askari 77 ni reasonable katika mazingira ya vita. Kuna wapiganaji huweza kupotea wakadhaniwa wameuawa baadaye wakapatikana, reconciliation ya taarifa, nk.

Tatizo ni ile UONGO wa mtoa mada kuwa askari 10,000 wa Israel wameuawa kwa mujibu wa gazeti la Israel la Yedioth Ahronoth.

My point is, hilo gazeti lipo, lakini hiyo habari feki siyo ya hilo gazeti, ameipata kwenye kipeperushi cha UDAKU na propaganda cha huko Uturuki (www.aa.com.tr)
Tunasubiri Haaretz watasemaje.
Muda utaongea.
 
Ist
Wanakumbi.

YERUSALEMU

Takriban wanajeshi 10,000 wa Israel wameuawa na kujeruhiwa tangu kuzuka kwa mzozo wa Gaza Oktoba 7 iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel siku ya Jumapili.

Gazeti la Yedioth Ahronoth lilisema wanajeshi 1,000 wanahamishwa kila mwezi hadi idara ya ukarabati ya Wizara ya Ulinzi kutokana na majeraha waliyopata katika vita vya Gaza.

"Jeshi linakabiliwa na uhaba wa askari wasiopungua 10,000 waliouawa au kujeruhiwa wakati wa miezi mingi ya mapigano katika Ukanda wa Gaza," gazeti la kila siku lilisema.

Gazeti hilo lilikosoa Knesset (bunge la Israeli) kwa kwenda mapumziko ya kiangazi kuanzia Julai 22 hadi katikati ya Oktoba bila kupitisha sheria ya kuongeza utumishi wa lazima wa kijeshi.

"Hakujawa na hali kama hiyo katika historia ya vita vya Israeli ... ambapo askari wanapigana ndani ya ardhi ya adui, chini ya hali mbaya, kwa miezi 10 mfululizo," mama wa mwanajeshi wa Israeli katika Brigedi ya jeshi la Nahal aliiambia Yedioth Ahronoth.

Kulingana na gazeti hilo, wanajeshi wa kike wanaohudumu katika Milima ya Golan ya Syria inayokaliwa na Israel waliarifiwa bila kutarajia kuhusu kuongezwa kwa miezi minne ya ziada ya huduma yao.

Israel, ikikiuka azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kutaka kusitishwa mara moja kwa mapigano, imekabiliwa na shutuma za kimataifa kutokana na kuendelea na mashambulizi ya kikatili dhidi ya Gaza tangu mashambulizi ya Oktoba mwaka jana na kundi la muqawama la Palestina Hamas.
=====================

JERUSALEM

At least 10,000 Israeli soldiers have been killed and injured since the outbreak of the Gaza conflict last Oct. 7, according to Israeli media on Sunday.

Yedioth Ahronoth newspaper said some 1,000 soldiers are transferred every month to the Defense Ministry’s rehabilitation department due to injuries sustained in the Gaza war.

"The army is suffering from a shortage of at least 10,000 soldiers killed or wounded during the long months of fighting in the Gaza Strip,” the daily said.

The newspaper criticized the Knesset (Israel’s parliament) for going on summer break from July 22 until mid-October without passing legislation to extend mandatory military service.

“There has been no such a situation in the history of Israel’s wars…where soldiers fight inside enemy territory, under unfavorable conditions, for 10 consecutive months,” the mother of an Israeli soldier in the army’s Nahal Brigade told Yedioth Ahronoth.

According to the newspaper, female soldiers serving in Israel-occupied Syrian Golan Heights were unexpectedly informed of an additional four-month extension of their service.

Israel, flouting a UN Security Council resolution demanding an immediate cease-fire, has faced international condemnation amid its continued brutal offensive on Gaza since an attack last October by the Palestinian resistance group Hamas.

Habari zaidi bofya hapa chini
👇🏽

Military service of female soldiers in Israel-occupied Golan Heights extended by 4 months, according to Israeli media - Anadolu Ajansı At least 10,000 Israeli soldiers killed, injured in Gaza war: Rep
Israel imepigika vibaya wanamgambo wao wamelambishwa mchanga vibaya mno
 
Back
Top Bottom