Yeison David Fuentes Mendoza mcolombia wa azam fc ni defender mkali sana, huyu mtu na nusu

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Mimi nilikuwa mechi nilikuwa naanglia nani ni best players. so far nimeoma huyu mcolombia atasumbua sana. next season simba na yanga. Zinaweza amia Colombia.

Huyu jamaa ni very intelligent. apotezi pasi ana calmness ya defender mzuri. Wacha tumuone caf champions league. Hicho ndo kipimo cha ukomavu.

The best defender on the pitch vs young Africans today.
 
mimi nilikuwa mechi nilikuwa naanglia nani ni best players. so far nimeoma huyu mcolombia atasumbua sana. next season simba na yanga. zinaweza amia Colombia.

huyu jamaa ni very intelligent. apotezi pasi ana calmness ya defender mzuri. wacha tumuone caf champions league. hicho ndo kipimo cha ukomavu.

the best defender on the pitch vs young africans today.
Tusubiri ligi ianze.
 
Yaani umemsifia kuwa beki mzuri halafu uchambuzi wako ukaishia kutoa sababu kuwa hapotezi pasi. Nilitegemea huu uzi utausindikiza na takwimu za namba kama vile; interceptions, blocks, tackles, last man tackles, clearance, headed clearance, aerial battles won, n.k
Kipa wa Azam alifanya kazi kubwa mno jana kuhakikisha lango linakuwa salama kuna mashuti zaidi ya matatu yalilenga lango la Azam.
 
Hapana kwa mechi ya Jana Bangala ndiye aliye onekana na alicheza kama mchezaji Kiongozi.
Ukiacha Bangala na kipa wa Azam eneo lote la kiungo Cha ulinzi kilikua hovyo Sana ni bahati tu ndio iliyo wabeba.
Yanga wakifanya mashambulizi hatari Yasiyo pungua 4/5 Ambayo yali zuiwa na kipa na si Diffence.
Bangala angalau alionekana aki fanikiwa kwenye baadhi ya mipira ya mwisho kabla ya kufikiwa kipa.
Mendoza ni Beki wa kawaida kama Gift Fredy sema Yeye Mandoza anapewa mechi nyingi za kucheza ila akipambana anaweza kuwa Beki mzuri.
 
Yaani umemsifia kuwa beki mzuri halafu uchambuzi wako ukaishia kusema hapotezi pasi. Nilitegemea huu uzi utausindikiza na takwimu za namba kama vile; interceptions, blocks, tackles, last man tackles, clearance, headed clearance, aerial battles won, n k
Unampa kazi kubwa sana mkuu huyu jamaa hana tofauti na mua-sibu wa jf sports.
Mihemko tu lakini hajui kitu chochote kuhusu mpira fuatilia nyuzi zake nyingi utafahamu nini nakuambia..
 
mimi nilikuwa mechi nilikuwa naanglia nani ni best players. so far nimeoma huyu mcolombia atasumbua sana. next season simba na yanga. zinaweza amia Colombia.

huyu jamaa ni very intelligent. apotezi pasi ana calmness ya defender mzuri. wacha tumuone caf champions league. hicho ndo kipimo cha ukomavu.

the best defender on the pitch vs young africans today.
Bila shaka umejikita zaidi kwenye ushabiki, kuliko takwimu. Ahueni baadhi ya wataalam hapo juu wamekuongezea maarifa.
 
Yaani umemsifia kuwa beki mzuri halafu uchambuzi wako ukaishia kutoa sababu kuwa hapotezi pasi. Nilitegemea huu uzi utausindikiza na takwimu za namba kama vile; interceptions, blocks, tackles, last man tackles, clearance, headed clearance, aerial battles won, n.k
Kipa wa Azam alifanya kazi kubwa mno jana kuhakikisha lango linakuwa salama kuna mashuti zaidi ya matatu yalilenga lango la Azam.
Huyu jamaa inaonekana anapenda tu pronounciation ya jina la huyo jamaa. Maana sijaelewa kachambua Nini hapo, zaidi amechamba tu
 
Unampa kazi kubwa sana mkuu huyu jamaa hana tofauti na mua-sibu wa jf sports.
Mihemko tu lakini hajui kitu chochote kuhusu mpira fuatilia nyuzi zake nyingi utafahamu nini nakuambia..
Huyo kaanza kuujulia mpira kwenye TV.
 
Back
Top Bottom