Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Tusubiri ligi ianze.mimi nilikuwa mechi nilikuwa naanglia nani ni best players. so far nimeoma huyu mcolombia atasumbua sana. next season simba na yanga. zinaweza amia Colombia.
huyu jamaa ni very intelligent. apotezi pasi ana calmness ya defender mzuri. wacha tumuone caf champions league. hicho ndo kipimo cha ukomavu.
the best defender on the pitch vs young africans today.
Hapana kwa mechi ya Jana Bangala ndiye aliye onekana na alicheza kama mchezaji Kiongozi.mimi nilikuwa mechi nilikuwa naanglia nani ni best players. so far nimeoma huyu mcolombia atasumbua sana. next season simba na yanga. zinaweza amia Colombia.
huyu jamaa ni very intelligent. apotezi pasi ana calmness ya defender mzuri. wacha tumuone caf champions league. hicho ndo kipimo cha ukomavu.
the best defender on the pitch vs young africans today.
Unampa kazi kubwa sana mkuu huyu jamaa hana tofauti na mua-sibu wa jf sports.Yaani umemsifia kuwa beki mzuri halafu uchambuzi wako ukaishia kusema hapotezi pasi. Nilitegemea huu uzi utausindikiza na takwimu za namba kama vile; interceptions, blocks, tackles, last man tackles, clearance, headed clearance, aerial battles won, n k
Bila shaka umejikita zaidi kwenye ushabiki, kuliko takwimu. Ahueni baadhi ya wataalam hapo juu wamekuongezea maarifa.mimi nilikuwa mechi nilikuwa naanglia nani ni best players. so far nimeoma huyu mcolombia atasumbua sana. next season simba na yanga. zinaweza amia Colombia.
huyu jamaa ni very intelligent. apotezi pasi ana calmness ya defender mzuri. wacha tumuone caf champions league. hicho ndo kipimo cha ukomavu.
the best defender on the pitch vs young africans today.
Ni hater wa Gamondi huyu nazikumbuka vizuri tu nyuzi zake.Unampa kazi kubwa sana mkuu huyu jamaa hana tofauti na mua-sibu wa jf sports.
Mihemko tu lakini hajui kitu chochote kuhusu mpira fuatilia nyuzi zake nyingi utafahamu nini nakuambia..
Huyu jamaa inaonekana anapenda tu pronounciation ya jina la huyo jamaa. Maana sijaelewa kachambua Nini hapo, zaidi amechamba tuYaani umemsifia kuwa beki mzuri halafu uchambuzi wako ukaishia kutoa sababu kuwa hapotezi pasi. Nilitegemea huu uzi utausindikiza na takwimu za namba kama vile; interceptions, blocks, tackles, last man tackles, clearance, headed clearance, aerial battles won, n.k
Kipa wa Azam alifanya kazi kubwa mno jana kuhakikisha lango linakuwa salama kuna mashuti zaidi ya matatu yalilenga lango la Azam.
Huyo kaanza kuujulia mpira kwenye TV.Unampa kazi kubwa sana mkuu huyu jamaa hana tofauti na mua-sibu wa jf sports.
Mihemko tu lakini hajui kitu chochote kuhusu mpira fuatilia nyuzi zake nyingi utafahamu nini nakuambia..
Jamaa mpira haujui kabisa anacho wajaza mambumbumbu ni kuchanganya lugha tu akiweka kirengeza cha ugoko mabumbumbu yanaona sasa huyu ndio mwamba..Huyo kaanza kuujulia mpira kwenye TV.