Yemen imeionya Italia itaishambulia.

Yemen imeionya Italia itaishambulia.

Its Good kusema Israel hajashambulia paza basi sauti ili waarabu waanze kushambuliana wenyewe kwa wenyewe... some people will support you for this Taqiyya hahaha

Usumbufu wa Houth wa Yemen hausumbui sana kivile Israel.. Egypt ndio kala hasara mno kuliko maelezo na Nduguze Muslim wa Houthi wa Yemen wanadinda tu.. and jeuri nyingi kumbe anga lake juepe kama tui la nazi unaangusha chochote tu kinatua salama salimini
Hujui kwamba houthi alisafirisha drone zaidi ya kilomita 2000 na ikaenda kupiga tel aviv?
 
Wanaukumbi.

⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️

𝐘𝐞𝐦𝐞𝐧 𝐰𝐚𝐫𝐧𝐬 𝐈𝐭𝐚𝐥𝐲 𝐟𝐨𝐫 𝐭𝐡𝐬𝐞 𝐞…

Yemen imeionya Italia kuwa itashambulia kambi ya Italia huko Djibouti ikiwa itaunga mkono operesheni za Israel.

Ndege za Italia zilisaidia kujaza mafuta ndege za Israel kushambulia Yemen...

View: https://x.com/iranspec/status/1816471284387312063?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ile opereshen imefanywa na NATO nzima. Hata Saudi Arabia wamesaidia katika kupigwa Wayemeni.

Egypt wanaisaidia Israel, Saudi Arabia, Jordan kuiangamiza Palestina na kutaka wawekwe vibaraka wa israel, kama walivyo wao, katika nchi zote zinazoisaidia Palestine.

Hii vita haina mwisho wala suluhisho, mpaka israel iwachie ardhi yote ya Palestina na tawala zao kama Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE zisiwepo, hizo nchi zitawaliwe na wenye nchi zao, siyo hao mazayuni.
 
Upo sahihi kabisa but hilo la vibaraka katika nchi hizo zote kuondoka ndo ngumu ukizingatia nchi hizo ulizotaja zinatawaliwa Kifalme ukiiondoa Misri.
 
Kuna bwege hapa alituambia F35 inaweza kutoka Israel kwenda nakurudi bila kuwarefuel nilimjibu kuwa kwa namna navyo zifahamu ndege za kivita haiwezekani mpaa ziwe refuel.

Akajidai Israel ana technology 😄

Mimi na uhakika kila siku zikienda Yemen watafatilia footprint za hizo ndege lazima wameshiriki nchi za kiarabu kuidhuru Yemen kama si Saud Arabia au Egypt pamoja na Jordan, itakuwa ajabu kubwa sana.

Israel anakuzwa tu hilo dola la kifake halijawahi ingia vita bila kusaidiwa.
Na wao waalikane sasa wanasubiri nn waalikane waivamie Israel waitoe pale si mnasemaga iran anamuweza marekani na ulaya yote si aende sasa au
 
Na wao waalikane sasa wanasubiri nn waalikane waivamie Israel waitoe pale si mnasemaga iran anamuweza marekani na ulaya yote si aende sasa au
dogo tulizana ataondoka taratibu kama alivyo kuja taratibu.
 
Kuna bwege hapa alituambia F35 inaweza kutoka Israel kwenda nakurudi bila kuwarefuel nilimjibu kuwa kwa namna navyo zifahamu ndege za kivita haiwezekani mpaa ziwe refuel.

Akajidai Israel ana technology 😄

Mimi na uhakika kila siku zikienda Yemen watafatilia footprint za hizo ndege lazima wameshiriki nchi za kiarabu kuidhuru Yemen kama si Saud Arabia au Egypt pamoja na Jordan, itakuwa ajabu kubwa sana.

Israel anakuzwa tu hilo dola la kifake halijawahi ingia vita bila kusaidiwa.
Ndio raha ya kua na maswahaba. Israeli inapendwa mashallah. Ndomana hawataki mpendwa wao adhurike wanamsaidia tu.
Kuna uzi humu wamesema hadi ISI wanawasaidia israel.
 
Ndio raha ya kua na maswahaba. Israeli inapendwa mashallah. Ndomana hawataki mpendwa wao adhurike wanamsaidia tu.
Kuna uzi humu wamesema hadi ISI wanawasaidia israel.
Isi ambao ni magaidi wa kiislam sindio eeh
 
Ndio raha ya kua na maswahaba. Israeli inapendwa mashallah. Ndomana hawataki mpendwa wao adhurike wanamsaidia tu.
Kuna uzi humu wamesema hadi ISI wanawasaidia israel.
Israel anasaidiwa sababu ni omba omba we huoni anavyo lia nipeni silaha kama mitoto inayo lilia uji 😄
 
Ukimshambulia Djibouti unakuwa umeishambulia Africa na France kipigo kizito kitafuatia kwa hao wala Murungi.
 
Nashangaa israeli inawalea hao mbuzi.Hao ilitakiwa wapewe kipigo kikali mpaka wakikohoa wanatoa moshi wa bomu.Israel piga hao mende mpaka yemeni iwe flat na sehem ya kokoto nyingi maneener zao.
 
Ukimshambulia Djibouti unakuwa umeishambulia Africa na France kipigo kizito kitafuatia kwa hao wala Murungi.
Wacha wa refuel ndege za Israel tena, uone hapo Djibouti kama atabaki Italy au France.

Si ajabu hata yule Ismaïl Omar Guelleh watamchukua kama pasal 😄
 
Wacha wa refuel ndege za Israel tena, uone hapo Djibouti kama atabaki Italy au France.

Si ajabu hata yule Ismaïl Omar Guelleh watamchukua kama pasal 😄
Chuki zenu pelekeni kule tuachieni Afrika yetu.
 
Hao magaidi shida sana. Muda unakuja watakuja kuponza akina mama na watoto wa Yemen kwa sababu watatafuta hifadhi kwao.
wanawavutia kasi, kama manati, wakija kuivuta, watapigwa kama ngoma.
 
Zanzbar yote ni Waislam wapi wamesafishwa? Afu mimi hata zanzbar sijawahi kufika
Polepole Uisilamu wa msimamo mkali unazidi kutokomea hujasikia kuwa bila Waisilamu Breweries zingefungwa?😂
 
Polepole Uisilamu wa msimamo mkali unazidi kutokomea hujasikia kuwa bila Waisilamu Breweries zingefungwa?😂
Uislam ni imani hao wanao enda kulewa hao wana majina tu yakislamu. Kwa hio umefurahi kuona walevi wanazidi kama yule Paulo wengine wanasema alishiriki kutaka kumuwa Yesu, afu mara akamuota anampa utume, mimi na amini hakuwahi kumuona Yesu alimuona shetani 😄

Afu mafunzo yake hayaendani na Yesu kabisa.

View: https://youtu.be/3DY-t_Fwxv0?si=jpCUAJLas-LJvsTU
 
Uislam ni imani hao wanao enda kulewa hao wana majina tu yakislamu
Hao ndio Waisilamu wasiolipua na kuua Watu Waisilamu safi wanywa Konyagi sio kama ninyi Siasa kali wapenda shari za kuchinjana.
 
Back
Top Bottom