4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
mnapenda kukuza mamboIle opereshen imefanywa na NATO nzima. Hata Saudi Arabia wamesaidia katika kupigwa Wayemeni.
Egypt wanaisaidia Israel, Saudi Arabia, Jordan kuiangamiza Palestina na kutaka wawekwe vibaraka wa israel, kama walivyo wao, katika nchi zote zinazoisaidia Palestine.
Hii vita haina mwisho wala suluhisho, mpaka israel iwachie ardhi yote ya Palestina na tawala zao kama Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE zisiwepo, hizo nchi zitawaliwe na wenye nchi zao, siyo hao mazayuni.