Ndioo mkuu! Hivi Yemen anaweza kupigana vita na Marekani? Iran anayewapa msaada wa silaha anaogopa kuingia vitani na Israel tu anayesaidiwa na huyo Mmarekani. Iran kachokozwa mara ngapi na Israel kwa kuuwa watalamu wake na makamanda wake huko Syria lkn haiwezi kuishambulia Israel na badala yake hasira zake zinaishia kwa kuwsupport magaidi wa Hezbollah na houth tu. Arushe kombora moja tu huko Israel ambalo lita hit target ndo kesho yake ataona uwezo wa Marekani anayemwoga Yemen kama hujaona wanakimbilia UN kulia lia...sijui nyo.ko nyo.ko cease fire