Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Yemen ni nchi maskini, jeuri hii anaitoa wapi?
Muulize us na coalition yake alokua anaiongoza pale yemen kutaka kumregesha rais alopinduliwa waliishia wap
Yemen atawabonda na muungano wenu uchwara
Shosti yake marekani saudia kastuka kaukwepa muungano wa mchongo
 
Marekani nakuangalia sheria wapi na wapi tokea lini marekani akaangalia sheria
Kama kuisambaratisha miji tu ndio ushindi hata israhell kaisambaratisha sana ghaza vipi kashinda
Us hatakaa afikie lengo la kuunda huo muungano
Yemen wametoa makataa yao yasiposikilizwa watazamisha hio mitumbwi yenu hapo nahamtakaa muamini
Us bila mashoga zake na nyuklia nikama kongo tuuu
Hawa Waarabu kwa mikwala utawaweza?

Wana bahati kwamba kuna mataifa yanaangalia mizani ya sheria za kimataifa tu.

Hivi Mmarekani akiamua kupiga mabomu indiscriminately si anaweza kuisambaratisha miji yote ya Yemen ndani ya mwezi t
 
sasa kama wana uwezo, siwawasaidie raia wao ambao wanakufa kwa njaa? faida ya jeuri yao ni nini sasa?
 
Iran ndo anaweza kufanya hivyo.
China hathubutu, anaogopa yale yaliyomkuta Mrusi kwa mali zake kupigwa pini. Wachina wanajali sana uchumi wao.
Hata Russia akifanya ni kwa kificho sana, na saivi pumzi hana.
Eti pumzi hana
Wenye pumzi wale waliomtia ukraine chaka sasa hv wanamkataa kumpa misaada
Urusi akiamua kusaidia anasaidia kweupeee
North korea karusha masatelite yake. Yamefeli weee Russia kumpa mkono dakika moja tu rocket 🚀 imeenda ilipotakiwa
Zama zakuogopwa marekani ziliishapita zamani sana nazinaendelea kupita
 
We kweli popoma Palestina ilikuwepo na mwanzo ilikua chini ya Ottoman empire baadae ikawa inatawaliwa na Uingereza.
sasa ilikuwepo palestina au ilikuwepo ottoman? mbona hueleweki? lini kulishawahi kwuepo taifa linaloitwa palestina, ndio swali.
 
Afgan kakaa miaka 20 kaachia koloni ulitaka akae kuna nini pale. Yaani somalia pqlqkavu vile kiranjaa aangaike napo yeye anaenda sehem ananyosha magaidi na kuondoka
Russia kaikalia Crimea miaka tisa tu na hana mpango wakuondoka mnalia lia
Marekani na shost zake hawajaondoka Afghanistan wamekimbizwa
 
Kwa sasa ama kwalinaloendelea iran kakabwa wapi
Ingawaje kila mtu anapakushikilia hata us c alipoona kakabwa japan akatumia nyuklia
Au akiona unamzingua kwasasa anakutia vikwazo
Au kama anaweza analeta vurugu na mapinduzi kwenye mataifa husika ya watu
Sio suala la kuhisi wala kudhani. Mbona hiyo inajulikana wazi ndio sera ya Iran siku zote kwamba akikabwa sehemu pa kuponea ni kuvuruga Red sea kuzuia shipments ili yawepo mazungumzo. Hata silaha zake nyingi majini zimelenga hilo
 
Najua, na hilo ndilo linaloprove weakness ya Yemen.

Mikwala mingiii, ila haiwezi hata kusimama peke yake.
Kama hvyo hata israhell hawezi kusimama pekeee
Kwamwaka anapewa msaada wa kijeshi na marekani wazaidi ya usd 3Billion
Ila anapigana na hamas mwezi wa nne uleee
Yemen hao hao walipigana na saudia wakidhaminiwa na marekani tokea 2014 mpaka mwaka jana ndio wakaeka ceasefire
Us na shost zake walitaka kumregesha hadi madarakan ila Houth na iran 🇮🇷 wakasema harejei huyu bwana
Vp kati ya houthi wakiongozwa na iran ama saudia akiongozwa na us nani alifikia lengo?
 
🇨🇳🇮🇱 REPORT: CHINA IGNORED DISTRESS CALLS FROM ISRAELI TANKER NEAR RED SEA

Chinese naval vessels reportedly ignored distress calls from an Israeli-owned tanker under attack by the Houthis.

USS Mason and Japanese ships, farther away from the attack, rescued the hijacked Central Park tanker in the Gulf of Aden, as confirmed by CENTCOM.

China had three ships nearby that did not respond despite being on a "counter-piracy mission."

Source: CENTCOM / AP

Kila mmoja ashinde mechi zake
 
Vyombo vya habari vya Israeli: Meli za kivita za Uchina zilizowekwa katika Bahari Nyekundu zilikataa kusaidia meli za shehena za Israeli huko Bab al-Mandab baada ya shambulio la Houthi.
Taifa teule linaomba msaada kwa China hahaha China kawambia pambaneni wenyewe.
 
Ww si umesema Yemen hana chochote cha kumtisha kiranja wako?
Sasa na mm nimekuwekea wale ambao ni masikini kama Yemen walio mpaka mafuta mchana kweupe huyo kiranja wako.
Waziri wa Ulinzi wa Australia Richard Marles alisema hawatatuma meli ya kivita kwa Operesheni ya Ufanisi Sentinel dhidi ya Houthis, lakini wataridhika na kuweka wanajeshi sita katika eneo hilo. Alisema Australia inapaswa kuzingatia matatizo ya eneo lake "la haraka".
 
Yemeni yeye amezilenga meli zinazoenda Israel pia amezilenga meli zenye bendera za Israel kupita maeneo yake ambayo ndiyo njia ya kwenye Israel, Labda nikuulize kuna Meli za Israel zinakuja Tanzania au sisi tuna meli zinaenda Israel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…