shida yenu inakuwaga kitu kidogo sana. elimu elimu elimu. huwa mko tayari kuamini kile mnachodanganywa na watu wasio na elimu huko kwenye majumba yenu badala ya kufanya tafiti ya kutosha ili mjue kama mnadanganywa au la. kwa kifupi, hapajawahi kuwepo taifa linaloitwa Palestine, never on earth. hata kwenye kitabu chenu halipo wakati Israel ipo. Pia, jina lenyewe la Palestine lililetwa na makafir tu. kidoogo sana wakati wa utawala wa British, walitaka kufanya maandalizi ili wawapatie waarabu waliokuwa wamevamia hilo eneo la wayahudi ili wawe na nchi, ni kipindi kile cha british mandate baada ya kuporwa ottoman. na, hapo walijaribu kutengeneza na sarafu na maandalizi yalishaanza. kabla hata hawajaunda hilo taifa, Wazayuni wanarudi, wakaunda. hao wapalestina wote ni wafilisti ambao wamekuwa wakipigana na wayahudi eneo hilo miaka zaidi ya 3000 na walikuwe eneo la Gaza tu. na majority yao ni waarabu wahamiaji toka jordan, misri, syria na maeneo mengine ya kiarabu ndio maana hata sura zao zina variaty nyingi sana, wengine kama wazungu wengine weusi kidogo wengine waarabu fulani n.k.Hivi we unajielewa???
Umeishia la ngapi??
Kuliwahi kuwa na Palestina ambayo ilikuwa chin ya mamlaka ya Ottoman empire na Ottoman empire ilipovunjika Palestine ikatawaliwa na Uingereza.
KASOME MAKOLONI YA MUINGEREZA MOJA WAPO NI PALESTINA.
NIKUULIZE WEWE UNA HISTORIA INAYOELEWEKA YA ISRAEL?!
USINILETEE HISTORY ZA BIBLIA.
Chuki iko wapi hapo hem nioneshe chuki nimeieka wapiUmeacha kutoa hoja, unaleta chuki tu.
Unatoa vipi nuclear option wakati US anayo?
Umaweza hata kufuatilia mada kimantiki?Chuki iko wapi hapo hem nioneshe chuki nimeieka wapi
Kama anayo sasa kwanini UN wamezipiga marufuku kutumika hizo silaha
Au hukuwahi kuwasikia walivyokua wanabweka bweka wakat RUSSIA walipokua wanaeka tu tayari vikosi vyao vya nyuklia
Huna hoja MKUU ila hapo hakuna sehem yenye chuki
Hongera kwakutoa darasa mkuu ila pole maana hawatakaa wakubaliane na hoja zako ingawaje umempa na facts kabisaaaSijabadili mjadala ila wewe ndio unanihamisha.
Maana umetoa sababu za kisiasa nimezifafanua.
Yemeni tumeipita kiuchumi kwasababu imekua katika vita zaidi ya miaka kumi.
Unategemea wao watazalishaje???
Ila asahivi ina amani basi tarajia kuona Yemen ikikua kwa Kasi.
Unapozungumzia vita ni mbinu sio bajeti kubwa ya jeshi au vifaa peke yake.
India Ina bajeti kubwa ya ulinzi ila inazidiwa na Pakistani kivita.
Katika border clash sita walizooigana baina ya India na Pakistani Kashmir vita 5 Pakistani ameshinda ni vita Moja tu India aloweza kushinda.
Iran kipindi inapigana na Iraq 1980s ikiwa Ina jeshi la mapinduzi ambalo ndio kwanza limetoka kufanya mapinduzi 1979 walipigana na Iraq ambayo ndio ilikua na jeshi Pana kipindi kile wakisaidiwa na USA na bado hawakutoboa wakaomba mazungumzo vita iishe 1988.
Hizbollah ni kundi dogo tu linalofadhiliwa na Iran ila 2006 lilipigana na IDF ambayo inasifika kuwa most sophisticated military ukanda wa Middle east na IDF wakapigwa wakavurutwa Toka bint jubeir kuja mpaka Shebah farms.
1959 China ambayo ilikua bado nchi maskini iliisaidia North Korea dhidi ya South Korea ilokua ikisaidiwa na USA kijeshi na kisilaha na wakawatwanga pale jangsari mpka kuwaburuta eneo ambalo sasa linajulikana km demilitarized zone.
UKITAKA MIFANO ZAIDI NAKUPA.
VITA SIO BAJETI KUBWA TU ILA PIA NI MBINU.
Ya Al Sahaf wa Iraq ya Sadam Hussein na uvamizi wa Marekani na Yemen. Yemen inabweka tu haina uwezo wa kupambana na umoja huo, itapigwa pande zote ichakae. Ni wapuuzi bora iache huo mkwara wa kutishia wakubwa nyau
Umejibu swali? Nchi namba moja kwa kuvunja sheria za kimataifa ni Marekani hapa unaandika mapambio yasiyo na mantiki.Katika muktadha wa kutoitokomeza Yemen kwa nuclear na ubabe mtupu bila kuangalia proportion wanaheshimu sheria za kimataifa, kutamba kwa Yemen hakutokani na Marekani kushindwa kuiangamiza Yemen kwa nuclear na ubabe mtupu usio na proportion.
Nimeongelea a very specific point kuhusu nuclear war na proportionate response.
Mobona wewe ndiye unakuwa huna akili sasa?
Nuance please.
Ndo hawa kafanya watu wasisishe operation yao pale red sea.Yemen ni miongoni mwa nchi masikini wa kutupwa duniani kama somalia, burundi, Iraq na central africa. Sasa sijui itapigania rungu au fimbo?
Unathibitishaje kwamba Marekani ni namba moja kwa kuvunja sheria za kimataifa? Sheria za kimataifa unazijua ni nini wewe?Umejibu swali? Nchi namba moja kwa kuvunja sheria za kimataifa ni Marekani hapa unaandika mapambio yasiyo na mantiki.