Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Hakuna kitu usiwajaze mkuu, wakipigwa wanaanza kulia kulia, wanaweza kuwa sahihi katika madai yao ila hii mikwara ni ya Joti kabisa.
Hakuna Cha mikwara ya joti Wala Nini.
USA LEARNT WHO YEMEN IS SINCE BACK THEN WHEN IT WAS HELPING SAUDIA AND OTHER GULF STATES TO DEMILITARIZE HOUTHI.
KITAKACHOTOKEA SASA ATAKUMBUSHWA TU.
 
Sijawahi kuona USA akiheshimu taratibu za kimataifa za kivita.
Taifa linaloongoza kuwa na crime war rates ukiitoa Myanmar na Israel basi ni USA.
Hiyo kutokutumia nuclear isiwe sababu.
Maana kama silaha USA zipo kibao zenye nguvu tofauti na nuke ambazo zinaangamiza mathalan white phosphorus na cluster bombs.
Na zote hizo USA kazitumia.
Wewe hata huelewi kwamba hoja si kuheshimu taratibu za kimataifa za vita.

Huwezi kufuatilia mazungumzo kimantiki.

Unabwabwaja kwa hisia tu.
 
Sijalinganisha Yemen na USA.
Nachojaribu kukwambia ni kwamba vita sio tu bajeti kubwa na jeshi kubwa Bali pia ni mbinu.
Usitetee USA kwamba anajizuia kutumia nuke weapons ila nguvu anazo.
Maana nuke weapons zimesambaa technology yake .
N.korea na wengineo pia wanazo.
Hiyo USA ilitoa jeshi na silaha kuisapoti Saudi Arabia oil kumtetea Mansour asitoke madarakani ila Houthi kikundi kidogo kime repel mashambulizi yote zaidi ya miaka mitano.
Kwa hivyo unaniambia zikipigwa Yemen na US, Yemen atashinda?
 
Meja kavimbiwa maziwa ya ngamia anaropoka tu.
Sasa ataweza pambana na USA kweli
 
Wakizidiwa wanakimbia kujifichia kwa watoto mashuleni na mahospitalini wakifatwa huko uanza kulaumu
 
Meja kavimbiwa maziwa ya ngamia anaropoka tu.
Sasa ataweza pambana na USA kweli
Wewe shabiki mandazi hauna unalofahamu.
Uhispania ilikataa kushiriki katika muungano wa kimataifa wa baharini ili kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Houthi

Mamlaka ya Uhispania imesema nchi hiyo haitajiunga na muungano wa kimataifa wa wanamaji unaoongozwa na Marekani ambao uliundwa ili kuzima mashambulizi ya waasi wa Houthi wa Yemen. Kulingana na ripoti za vyombo vya habari vya ndani, uamuzi huu ulitokana na mambo ya ndani ya kisiasa, ripoti za WION.

Wahouthi, katika kuonyesha mshikamano na Palestina, walianza kushambulia meli katika Bahari Nyekundu kwa kutumia ndege zisizo na rubani wanazoamini kuwa zina uhusiano na Israel. Matokeo yake, meli za wafanyabiashara zilianza kuepuka njia hizi, ambazo ziliathiri vibaya usambazaji wa kimataifa. Wiki iliyopita, Pentagon ilitangaza muungano wa mataifa 20 kulinda njia muhimu ya baharini.

Wawakilishi wa AP Maersk, ambayo inashika nafasi ya pili duniani kwa wingi wa usafirishaji wa makontena, walikaribisha habari za kuundwa kwa muungano huo na kutangaza kwamba wanajiandaa kuanza tena usafirishaji katika Bahari Nyekundu hivi karibuni. Wakati huo huo, walionya kuwa hii haitaondoa kabisa hatari katika eneo hilo.
 
Scott Ritter, Strategist of the US intervention in Iraq-Kuwait war:

The US is in a great dilemma

If they attack the Houthis, the US knows it is losing the end game

If they do not attack the Houthis, others will see the weakness of the US and become confident that by producing lethal missiles they can achieve similar goals as the Houthis
 

Attachments

  • IMG_8527.jpeg
    IMG_8527.jpeg
    36.3 KB · Views: 2
🚨 HOUTHIS CALL UP 20K RESERVISTS

Houthis have reportedly trained 20,000 reservists for Gaza – very small number compared to Israel's 500k+ military.

Despite their smaller numbers, the Houthi's David-like tenacity has led to significant disruptions in Red Sea and had a dramatic impact on global shipping.

Marching through Yemen, they seem ready to tackle Goliath, either through Saudi Arabia or sailing up the Red Sea en route to Gaza.

Source: Saba News Agency
 
Kwa hivyo unaniambia zikipigwa Yemen na US, Yemen atashinda?
Sijasema nani atakua mshindi dhidi ya mwingine bali nachojaribu kusema ni kwamba Yemen sio mfupa mwepesi na ushahidi upo.
Popote Iran anapotia mkono ni vigumu US kushinda .
Fuatilia Syria,Lebanon na mfano wa sasa Russia.
Iranian drones and missiles ndizo zilizobadili muelekeo wa vita baada ya EU na US kumsaidia Ukraine.
Usiponielewa hapo kaka nafunga mjadala .
 
Back
Top Bottom