Hujaonesha nimejikanganya wapi.Unajikanganya mwenyewe,ushaanza kujikanyaga bro pole sana.
Unabadili gia taratiibu.Sijasema nani atakua mshindi dhidi ya mwingine bali nachojaribu kusema ni kwamba Yemen sio mfupa mwepesi na ushahidi upo.
Popote Iran anapotia mkono ni vigumu US kushinda .
Fuatilia Syria,Lebanon na mfano wa sasa Russia.
Iranian drones and missiles ndizo zilizobadili muelekeo wa vita baada ya EU na US kumsaidia Ukraine.
Usiponielewa hapo kaka nafunga mjadala .
😂😂😂😂😂😂😂 Nimebadili GIA Mimi au wewe???Unabadili gia taratiibu.
Yemen ana mikwala mbuzi mingi kwenye vita ya ukweli hamuwezi Mmarekani, that is my whole point.
Hujui kusoma kwa ufahamu?
Wewe guluguja ngumbaru unaandika kwa all caps unafikiri ndiyo ukiandika utumbo all caps zitafanya utumbo uwe point.😂😂😂😂😂😂😂 Nimebadili GIA Mimi au wewe???
Kaka mikwara ni kumpa mtu vitisho pasi na kumchukulia hatua.
Hiyo ndiyo maana halisi ya mikwara.
NARUDIA TENA USA ILISAIDIA SAUDI ARABIA KISILAHA NA WANAJESHI KUMBAKISHA MANSOUR MADARAKANI NA KUWAONDOSHA HOUTHI ILA TOKA 2014 MPAKA 2022 WAMESHINDWA KUFANYA HILO.
HOUTHI WAMERUSHA KOMBORA KWENDA KWENYE BATTLE SHIP YA US NAVY DJIBOUTI JAPO IMEDUNGULIWA UTASEMAJE HUYO MYU ANA MIKWARA TU???
Meli nne zimelipuliwa Moja imetekwa unasemaje houthi Wana mikwara tu????
Ingekua Houthi ni mfupa mdogo Kwa USA,US asingeomba joint coalition kulinda meli pale Red sea.
Houthi hawatumii mawe wanatumia silaha pia kumbuka hilo.
Sio lazima .Wewe guluguja ngumbaru unaandika kwa all caps unafikiri ndiyo ukiandika utumbo all caps zitafanya utumbo uwe point.
Unanipotezea muda na mood yangu tu.
Straight to ignore list.
Kuanzia hapa sitaona posts zako tena.
Hahaha kila siku utamsimkia hakujahi kuwa na taifa la Palestina uwa nacheka sana povu linavyomtoka kumbe hana kitu shida anashukumwa na chuki dhidi ya Uislam na anataka kushinda😂Unajikanganya mwenyewe,ushaanza kujikanyaga bro pole sana.
😂😂😂😂😂 Yani hata Mimi ananichekesha.Hahaha kila siku utamsimkia hakujahi kuwa na taifa la Palestina uwa nacheka sana povu linavyomtoka kumbe hana kitu shida anashukumwa na chuki dhidi ya Uislam na anataka kushinda😂
Kupata hivi vichekesho contact Ritz kwa +00000Wanaukumbi.
Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi:
Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo muungano huo utaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen.
======
🇾🇪🇺🇸 Yemeni Defense Minister Major General Mohammad al-Atifi:
The Yemeni Armed Forces will turn the Red Sea into a graveyard of the US-led coalition if the alliance decides to take any action against Yemen.
======
Mpaka sasa makumpuni makubwa ya meli Dunia yamesimamisha meli zao kupita Bahari Nyekundu.
Moja ya kampuni kubwa zaidi za usafirishaji wa meli duniani, Maersk, ilisema Iilikuwa inasimamisha meli zake kupitia njia kuu ya Bahari Nyekundu kufuatia mashambulizi ya waasi wa Houthi wa Yemen.
Maersk, ambayo inamiliki kundi la meli 300, katika tangazo la Jumamosi. Ikizingatiwa kuwa takriban 12-14% ya biashara ya kimataifa hupitia Mfereji wa Suez, hili ni tukio muhimu ambalo linaweza kuathiri njia za biashara za kimataifa na bei za bidhaa nchini Israel.
Kampuni ya usafirishaji ya Ujerumani ya Hapag-Lloyd ilitangaza pia kuwa inasimamisha usafirishaji wa meli za Bahari baada ya moja ya meli zake kushambuliwa na Houthis.
Kampuni ya meli ya Hong Kong ya OOCL (Orient Overseas Container Line) ilitangaza kwamba "kutokana na matatizo ya uendeshaji," itaacha mara moja kusafirisha mizigo kwenda na kutoka Israel
Yahya Saree, msemaji wa Jeshi la Yemen:
View: https://x.com/me_observer_/status/1737102785848512969?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Zaidi ya YemeniSadam Husein alikuwa na nini?
Ngoja nikumbukeUna umri gani?