🔻Sasisha | Vikosi vya Al-Quds: Saa 1:00 kamili Usiku, wapiganaji wetu walipambana vikali na kikosi cha askari wa miguu cha Kizayuni cha askari 10 na mbwa wao wa upelelezi, kwa kutumia silaha zinazofaa. Makabiliano hayo yalisababisha wote kuuawa au kujeruhiwa katika maeneo ya mbele ya Khan Yunis.hayo yote mliyataka wenyewe ninyi hamas.
Habari njema🔻Sasisha | Vikosi vya Al-Quds: Saa 1:00 kamili Usiku, wapiganaji wetu walipambana vikali na kikosi cha askari wa miguu cha Kizayuni cha askari 10 na mbwa wao wa upelelezi, kwa kutumia silaha zinazofaa. Makabiliano hayo yalisababisha wote kuuawa au kujeruhiwa katika maeneo ya mbele ya Khan Yunis.
View: https://x.com/warfareanalysis/status/1740006285280711164?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Habari njema
By David GrittenHabari njema
Wataikimbia ghaza kama walivyoiingia nisuala la muda tu mbonaBy David Gritten
BBC News
Israel is expanding its ground offensive into Palestinian refugee camps in central Gaza, as it warns the war with Hamas will last for months.
The UN has expressed grave concern after Israeli strikes reportedly killed dozens of people in Bureij, Nuseirat and Maghazi camps in recent days.
Heavy fighting is also continuing to the south, in the city of Khan Younis.
Meanwhile, the Palestinian president has described what is happening in Gaza as "beyond a war of annihilation".
The Hamas-run health ministry has said at least 195 people have been killed across the territory over the past 24 hours.
More than 21,100 have been killed - mostly children and women - during 11 weeks of fighting, according to the ministry.
The war was triggered by an unprecedented cross-border attack by Hamas gunmen on southern Israel on 7 October, in which at least 1,200 people were killed - most of them civilians - and about 240 others taken hostage.
Sawa.....Wataikimbia ghaza kama walivyoiingia nisuala la muda tu mbona
Licha yakua wanasababisha mauaji na mateso makubwa kwa wana ghaza ila nisuala la muda tuuu
Acha kunywa kahawa za jirani na Masjid upate akiliYemen si ya kutishiwa na Mtu Saud Arabia alijifanya Superpower kujiona ana ndege sijui F15 na Europe fighter Typhoon na silaha za kila aina aliwakusanya UAE, US, Israel, Baharain, Morocco ,Egypt, Jordan wakapeleka F16 na Kuwait F18, na Qatar Mirage pamoja na Sudan na Pakistan walipeleka majeshi yao walikimbia mmoja mmoja wakabaki Saud Arabia na UAE badaye UAE akakimbia ikabaki anawasapoti wa pinzani kule South Yemen, ilibidi Saud Arabia akaombe poa nao kwa njia ya Oman .
America na Israel hawamuwezi hata wajikusanye vipi
Aisay si bora masjid Mungu wao waislam tajiri si mungu wa bibilia eti ana njaa Mathayo 24 17 wakristo nyie shida sana 😄 ukionavwapi Mungu akawa na njaa? Mwenye jaa ni binadamu tu.Acha kunywa kahawa za jirani na Masjid upate akili
Marekani imeshindwa kuleta utulivu katika Bahari Nyekundu na kukabiliana na vitisho kutoka kwa Wahouthi.Dunia imeshindwa kuzuia "Genocide" huko palestina labda tuki share maumivu ya kiuchumi tutashtuka.