Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Wayemen wanashambulia meli na bandari ya mazayuni:

Makelele mengiii wakati kaisrael kapo pale kanajipiga gaza katakavyo.
Wewe Muisrael mweusi wa Tukuyu hauna unalojua zaidi ya ushabiki mandazi.
 
Attachments

  • twidown.mp4
    1.1 MB
Habari njema
By David Gritten
BBC News

Israel is expanding its ground offensive into Palestinian refugee camps in central Gaza, as it warns the war with Hamas will last for months.
The UN has expressed grave concern after Israeli strikes reportedly killed dozens of people in Bureij, Nuseirat and Maghazi camps in recent days.
Heavy fighting is also continuing to the south, in the city of Khan Younis.
Meanwhile, the Palestinian president has described what is happening in Gaza as "beyond a war of annihilation".

The Hamas-run health ministry has said at least 195 people have been killed across the territory over the past 24 hours.
More than 21,100 have been killed - mostly children and women - during 11 weeks of fighting, according to the ministry.

The war was triggered by an unprecedented cross-border attack by Hamas gunmen on southern Israel on 7 October, in which at least 1,200 people were killed - most of them civilians - and about 240 others taken hostage.
 
Wataikimbia ghaza kama walivyoiingia nisuala la muda tu mbona
Licha yakua wanasababisha mauaji na mateso makubwa kwa wana ghaza ila nisuala la muda tuuu
 
Yemen si ya kutishiwa na Mtu Saud Arabia alijifanya Superpower kujiona ana ndege sijui F15 na Europe fighter Typhoon na silaha za kila aina aliwakusanya UAE, US, Israel, Baharain, Morocco ,Egypt, Jordan wakapeleka F16 na Kuwait F18, na Qatar Mirage pamoja na Sudan na Pakistan walipeleka majeshi yao walikimbia mmoja mmoja wakabaki Saud Arabia na UAE badaye UAE akakimbia ikabaki anawasapoti wa pinzani kule South Yemen, ilibidi Saud Arabia akaombe poa nao kwa njia ya Oman .

America na Israel hawamuwezi hata wajikusanye vipi
Acha kunywa kahawa za jirani na Masjid upate akili
 
Acha kunywa kahawa za jirani na Masjid upate akili
Aisay si bora masjid Mungu wao waislam tajiri si mungu wa bibilia eti ana njaa Mathayo 24 17 wakristo nyie shida sana 😄 ukionavwapi Mungu akawa na njaa? Mwenye jaa ni binadamu tu.
 
🚨🇾🇪🇵🇸 YEMENI HOUTA TAARIFA RASMI

"Ushindi kwa ukandamizaji wa watu wa Palestina, ambao hadi wakati huu wamekabiliwa na mauaji, uharibifu, kuzingirwa, na njaa.

Vikosi vya wanamaji vya Jeshi la Yemen, kwa usaidizi wa Mwenyezi Mungu, vilifanya operesheni ya kulenga meli ya kibiashara, "MSC UNITED," yenye makombora ya kijeshi ya baharini.

Mchakato wa kulenga meli hiyo ulikuja baada ya wafanyakazi wake kukataa, kwa mara ya tatu, simu kutoka kwa vikosi vya majini, pamoja na jumbe za onyo kali za mara kwa mara.

Jeshi la Anga la Jeshi la Yemen pia lilifanya operesheni ya kijeshi kwa idadi ya ndege zisizo na rubani dhidi ya shabaha za kijeshi katika eneo la Umm al-Rashrash na maeneo mengine ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Jeshi la Yemen limethibitisha kuendelea kuwaunga mkono na kuwaunga mkono wananchi wa Palestina kama sehemu ya wajibu wao wa kidini, kimaadili na kiutu.

Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vimethibitisha kuendelea na operesheni zao huko Bahrain Nyekundu na Kiarabu dhidi ya meli za Israel au zile zinazoelekea katika bandari za Palestina inayokaliwa kwa mabavu hadi pale chakula na dawa zinazohitajika Ukanda wa Gaza zitakapoingia.

Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vinathibitisha kile kilichoelezwa katika taarifa zao za awali kuhusu kuzuia kupitishwa kwa meli zote za Israel au zile zinazoelekea katika bandari za Palestina inayokaliwa kwa mabavu, kwa wasiwasi wao kamili wa kuendelea kwa usafiri wa baharini katika maeneo yote isipokuwa chombo cha Israel.
 
Dunia imeshindwa kuzuia "Genocide" huko palestina labda tuki share maumivu ya kiuchumi tutashtuka.
Marekani imeshindwa kuleta utulivu katika Bahari Nyekundu na kukabiliana na vitisho kutoka kwa Wahouthi.

Wiki hii, meli 299 zenye uwezo wa kubeba kontena milioni 4.3 zimebadili mkondo au zinapanga kufanya hivyo ili kuepuka Bahari Nyekundu.

Hiyo ni takriban 18% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa.

Makampuni makubwa ya meli bado hayana uhakika kuhusu kutumia Bahari Nyekundu, licha ya dhamana ya usalama iliyotolewa na Jeshi la Wanamaji la Marekani.

View: https://x.com/iranobserver0/status/1740362421066195237?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom