Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Mmarekani akianza kuwapakata magaidi msije kuanza kulalamika humu kwamba wanaonewa [emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda utasema mkuu.Ni kweli kabisa. Hiyo ngoma iko mbali lakini tutaicheza tu!
Hiyo siyo Gqza….Mmarekani akianza kuwapakata magaidi msije kuanza kulalamika humu kwamba wanaonewa [emoji16][emoji16]
Hiyo siyo Gqza….
Yahya Saree, msemaji wa Jeshi la Yemen:
Wametujaribu kwa miaka 9, ikiwa wanataka kuifanya tena, tuko hapa na tayari. Ikiwa Amerika na Israeli zitatushambulia, watafanya upumbavu ambao hawajawahi kufanya hapo awali. Jibu litakuwa kali.
View: https://x.com/me_observer_/status/1737102785848512969?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
uvamizi wa nini sasa, nani kavamia mwingine wakati eneo lile hapajawahi kuwepo nchi inayoitwa PalestinaOperesheni za majini za Yemen zinalenga kuwaunga mkono wananchi wa Palestina katika kukabiliana na uvamizi na mzingiro wa Gaza, na sio onyesho la nguvu wala changamoto kwa mtu yeyote. Yeyote anayetaka kupanua mzozo lazima abebe matokeo ya matendo yake. Muungano ulioundwa na Marekani ni wa kuilinda Israel na kuilinda bahari bila uhalali wowote, na hautaizuia Yemen kuendelea na operesheni zake halali za kuunga mkono Gaza, kama vile Amerika ilivyojiruhusu kuiunga mkono Israel kwa kuunda muungano na bila ya muungano, wananchi wa eneo hili wana uhalali kamili wa kuwaunga mkono wananchi wa Palestina, na Yemen imejitwika jukumu la kutetea haki ya Palestina na dhulma kubwa ya Ghaza….
Wewe si unakesha JF huwezi kufahamu uvamizi Israel ndiyo wanajua kinachotokea Gaza baada ya kuvamia Gaza.uvamizi wa nini sasa, nani kavamia mwingine wakati eneo lile hapajawahi kuwepo nchi inayoitwa Palestina
Wewe si unakesha JF huwezi kufahamu uvamizi Israel ndiyo wanajua kinachotokea Gaza baada ya kuvamia Gaza.
View: https://x.com/moqawamah_eng/status/1737019246033740125?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Aliewamaliza alikuwa France sio USA mkuuUzuri wa Marekani huwa hana shughuli ndogo. Unakumbuka enzi zile za maharamia wa kisomali walivyokua wanateka meli kwenye pembe ya Africa,??
Hahhaha unameza propaganda kama hao. Hamas basi vita vimeisha waambieni wawape mateka😂kwani picha hizi ni za nani, si za mahamas hizi. ona magaidi yanavyotia huruma, hapo yamekamatwa na mazayuni yenyewe ni maupinde, si ukute wakawaogesha na kuwapaka mafuta hapo.
Hahhaha unameza propaganda kama hao. Hamas basi vita vimeisha waambieni wawape mateka😂
badala ya kutatua mzozo wa Palestina na kuiminya Israel isiendelee kuua watu wa Palestina Marekani inapeleka silaha Israel kila leo na halafu wanataka kuiminya Yemen.Ni matendo yasiyo na mantika katika kutafuta suluhu penye mzozo.Operesheni za majini za Yemen zinalenga kuwaunga mkono wananchi wa Palestina katika kukabiliana na uvamizi na mzingiro wa Gaza, na sio onyesho la nguvu wala changamoto kwa mtu yeyote. Yeyote anayetaka kupanua mzozo lazima abebe matokeo ya matendo yake. Muungano ulioundwa na Marekani ni wa kuilinda Israel na kuilinda bahari bila uhalali wowote, na hautaizuia Yemen kuendelea na operesheni zake halali za kuunga mkono Gaza, kama vile Amerika ilivyojiruhusu kuiunga mkono Israel kwa kuunda muungano na bila ya muungano, wananchi wa eneo hili wana uhalali kamili wa kuwaunga mkono wananchi wa Palestina, na Yemen imejitwika jukumu la kutetea haki ya Palestina na dhulma kubwa ya Ghaza….
Kama na israhell ataathirika basi acha tu nasie tuathirike tupo radhi na tutavumiliaKuna kitu tukiangalie kwa jicho la Mbali sana hii vita athari zake hazita ishia kwao tu tusubiri tutaona gharama ya vitu kupanda na kukosekana hasa malighafi tunazo zitegemea kutoka nnje, maana usitishwaji wa hiyo njia ya meli utatuathiri kwa namna moja au ingine.