Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Ulitaka iwe CNN,kwa nini?Jackson hinkle ndio source yako?
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off kobazi
Sawa lkn faaam tu YEMEN ilishambuliwa siku ya J mosi jpili YEMEN Wakajibu kuitandika iyo meli iliobeba ndege zilizoenda kuitwanga Yemen !!!!Muwe mnatuwekea na vyanzo vya habari mnakozitoa wakuu..!!
Vipi Iran kusaidia Hamas kuteka na kuua Oktoba 7, 2023Yani yeye sawa kusaidia waisrael kuuwa watoto wa Gaza!!!!
Kwani shida Iko wapi unataka nikuletee kutoka CNN au Fox news?Jackson hinkle ndio source yako?
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off kobazi
Hujasoma vizuri nimeiweka hapo.Muwe mnatuwekea na vyanzo vya habari mnakozitoa wakuu..!!
yemeni wana amini wanaweza kupigana na jambia wakati wenzao wanameli zina beba ndegeBaada ya kujibu mashambulizi mara 3 ndani ya saa 48 Hali iliyopelekea marekani kuondoa aircraft carrier Harry Truman katika bahari ya redsea na kuisogeza mbali na eneo la Yemen.
Mkuu wa nchi ya Yemen ametangaza rasmi Leo kuwa shambulio lolote dhidi ya nchi yake litajibiwa na ametoa tahadhari kwa maslahi yeyote ya marekani katika eneo la mashariki ya kati yapo hatarini.
Aidha amri ya kutopitisha meli yeyote ya Marekani katika redsea inaendelea.hii ni pamoja na meli zote zinazoelekea Israel mpaka Gaza itakaporuhusiwa kupokea misaada na chakula.
Mpaka sasa marekani haijatoka taarifa yeyote baada ya Jana Yemen kuzuia mashambulizi ya ndege za marekani zilizogeuzia njiani hapo Jana .View attachment 3275406
Harry Truman kwa sasa haifanyi kazi runway yake imekuwa damage haiwezi kusaidia ndege kuruka . Marekani imetuma aircraft carrier 3 zipo njiani kuja nazo wa houth wameapa kuzipiga makombora.Sawa lkn faaam tu YEMEN ilishambuliwa siku ya J mosi jpili YEMEN Wakajibu kuitandika iyo meli iliobeba ndege zilizoenda kuitwanga Yemen !!!!
YEMEN ndio walitoa habari iyo kuwa wameitwanga mala3 mwisho jana j3.
Tangu shambulio la j.mos marekani ajafanya lengine uko YEMEN na badala yake tumemsilkia Tramp akilalamika kuusu IRAN kuwasaidia Wahouth!!!
Yani yeye sawa kusaidia waisrael kuuwa watoto wa Gaza!!!!
lkn yeye kupigwa Meli yake tu analalamika!!!!!
Hiyo meli inayobeba ndege ndio iliyopigwa Jana na sasa haifanyi kazi. Sasa jiulize mwenyewe kama imepigwa na jambia utajua mwenyewe.yemeni wana amini wanaweza kupigana na jambia wakati wenzao wanameli zina beba ndege
Wachague popote wanapopataka dose ya wayemen ipo pale pale. Angalizo nchi yeyote itakayoisaidia marekani inajiweka kwenye hatari.Marekani walikuwa wanataka Base ya kudumu pale Somaliland ili wawe karibu na kutoa Dozi kwa ufanisi.
Umesikia kupitia kahawa ganiHiyo meli inayobeba ndege ndio iliyopigwa Jana na sasa haifanyi kazi. Sasa jiulize mwenyewe kama imepigwa na jambia utajua mwenyewe.
Hii siyo vita ya waarabu ni vita ya kupigania Uhuru wa palestina na kuondoa ubeberu wa marekani.
Najua unaumia ila tulia na ujifunze kupokea habari zinazoumiza. Unaweza kupokea habari za msiba kweli wewe?Umesikia kupitia kahawa gani