Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

Are you serious?! Hawa ragtag Millitias waliolewa mirungi wanaweza kupambana na the only super power of our times?!
Hiyo imetangazwa na pro western account basi ili uamini. Jisomee
 


Kumbe Yemen wana Allah wao hapo hapo!!
 


Wewe unaishi ulimwengu wa giza.

Eti US haijafanya shambulio jinginr!! Umejifungia wapi huko ambako hupati habari juu ya yanayoendelea? Pande zote 2 zimeripoti mashambulizi kwa siku 3 mfululizo.

Aljazeera
The Houthi-backed SABA news agency reported two new air raids early on Monday around the port city of Hodeidah, about 230km (143 miles) from the capital Sanaa.

Citing local authorities, SABA also reported that US forces carried out strikes on a cancer facility being built in the city of Saada on Sunday, causing “widespread destruction
 
NANUSA PUA YA MURRUSI HAPA,ITAFAHAMIKA,MUGAMBO WAMERUKABWAMEIKANYAGA.
 
Marekani walikuwa wanataka Base ya kudumu pale Somaliland ili wawe karibu na kutoa Dozi kwa ufanisi.
Mkuuu unajua umbali kutoka ISRAEL adi Yemen na kutoka apo Yemen na Somaliland ikiwa Israel km 2000+ na Yemen bado Yemen anakubutua kwa dkk 11 tu vipi apo jilan yake!!!!
 
Mkuuu unajua umbali kutoka ISRAEL adi Yemen na kutoka apo Yemen na Somaliland ikiwa Israel km 2000+ na Yemen bado Yemen anakubutua kwa dkk 11 tu vipi apo jilan yake!!!!
Ndege zitakuwa zinaruka around the clock hata huo muda wa kurusha rockets watakuwa hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…