Yemen Watangaza rasmi kuingia vitani dhidi ya Marekani

NI mijitu mipumbavu na mipunguani ndo hushangilia vita. Take care
 
Mkwara wa mende kuangusha kabati.
 
Mnatuchanganya. Nani katangaza vita. Yemen au Wahouth?
 
Sio yemen ni wahouthi
 
Ndege zitakuwa zinaruka around the clock hata huo muda wa kurusha rockets watakuwa hawana.
Sawa lkn jana Usiku Telaviv kimetua kitu kizito..!!!

Chengine Iran anajua iyo mbinu ya kupiga seem ilipotoka kombora ndio mana unaona Yemen bado anarusha Moto.. usiku na mchana..
 
Wahouth ndio wayemen wenyewe au unadhani ni wamarekani
sikia ndugu unaposema yemen unaongea nchi ya yemen ambayo yenyewe haijaingia vitani na wamerekani,usikurupuke kuongea kitu kama hujui,kuna nchi ya yemen ambayo ina serikali yake ambayo nayo inapigana vita na wahouthi
 
Msije mkalalamika baadae...Hamas mliwasifia sana
 
Hunaujualo.
Angalia hata TRT utajua kinachoendelea achana na propaganda za mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…