The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Ripoti za hivi karibuni (Machi 2026) zinathibitisha kuwa kundi la Houthi nchini Yemen limetoa onyo rasmi la uwezekano wa kufunga mlango bahari wa Bab al-Mandab kama hatua ya kuunga mkono Iran.
Mohammed al-Bukhaiti, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Houthi, ameeleza kuwa wako tayari kuzuia meli za nchi "chokozi" (hasa Marekani na washirika wake) zisipite Bab al-Mandab ikiwa mashambulizi dhidi ya Iran yataendelea au ikiwa kutakuwa na jaribio la kuivamia Kisiwa cha Kharg.
Marekani na Israel wamekuwa wakitekeleza operesheni iitwayo "Operation Epic Fury" dhidi ya miundombinu ya Iran, na uvumi wa kutaka kukiteka kisiwa hicho umezidisha taharuki.
Ikiwa Bab al-Mandab itafungwa, meli zitalazimika kuzunguka huko chini ya bara la Afrika.
Oops 😬!.