The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Hi vita inakua taratibu kutoka regional war to global, na waathirika ni sisi waafrica tusio kua na hatia. Kwamfano mafuta tayari yamesha panda 10,000 ulikua unapata lita 3.7 za diesel lakini sasa hapa unapata lita 3.2 by next month sijui hali itakua je.Ripoti za hivi karibuni (Machi 2026) zinathibitisha kuwa kundi la Houthi nchini Yemen limetoa onyo rasmi la uwezekano wa kufunga mlango bahari wa Bab al-Mandab kama hatua ya kuunga mkono Iran.
View attachment 3561260
Mohammed al-Bukhaiti, mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Houthi, ameeleza kuwa wako tayari kuzuia meli za nchi "chokozi" (hasa Marekani na washirika wake) zisipite Bab al-Mandab ikiwa mashambulizi dhidi ya Iran yataendelea au ikiwa kutakuwa na jaribio la kuivamia Kisiwa cha Kharg.
Marekani na Israel wamekuwa wakitekeleza operesheni iitwayo "Operation Epic Fury" dhidi ya miundombinu ya Iran, na uvumi wa kutaka kukiteka kisiwa hicho umezidisha taharuki.
Ikiwa Bab al-Mandab itafungwa, meli zitalazimika kuzunguka huko chini ya bara la Afrika.
Oops [emoji51]!.
Wameona Iran imezimudu nchi 2 kwa wakati mmoja, hadi Trump anaomba nchi za NATO zijiunge kuwasaidia.Hawa Houth hii sio kawaida kabisa lazima wamekuwa viwete jeshi Zima haiwezekan baba Yako ( Iran) anachezea kichapo alafu umetulia tu wakati mwanzoni mdogo wako ( Hamas) alivyogaragazwa uliingilia Kati.
Lawama ziende kwa mashoga Trump na Shetani nyauKufungwa kwa mlango huo kutalazimisha meli kupita chini ya Africa (Cape of Good Hope), jambo litakalochelewesha biashara na kuongeza bei ya bidhaa duniani.
Ninyi ndio ambao huwa mnasikia lakini mmekosa uwezo wa kuelewa, mnasoma lakini mnatoka watupu.Wameona Iran imezimudu nchi 2 kwa wakati mmoja, hadi Trump anaomba nchi za NATO zijiunge kuwasaidia.
Nafikiri inafahamika toka zamani hata enzi za shule kuwa mwenye nguvu huwa hasaidiwi kupambana.
Israel kwenda kuomba msaada Marekani kwa ajili ya kuja kupambana na Iran ambayo waliiwekea vikwazo miaka 50, hizo ni dalili za uoga na kutojiamini kijeshi.
Ukiona mtu anaenda kuita wenzake waje wapambane na wewe, na bado wewe ukaingia uwanjani kupambana nao bila kuhitaji usaidizi, basi jua wewe ni jasiri na una nguvu kuliko wao.
Hii vita Israel ingeingia peke yake vitani nadhani bila unafiki unajua mwenyew jinsi ingepigika. Washukuru wamesaidiwa, hivyo kupelekea Iran kutembeza kichapo kwenye nchi tofauti za Middle East badala ya kuelekeza nguvu kwenye nchi 1.
Ninyi ndio ambao huwa mnasikia lakini mmekosa uwezo wa kuelewa, mnasoma lakini mnatoka watupu.
Marekani haijawahi kuziomba nchi za NATO kuingia kwenye vita dhidi ya Iran, bali iliomba nchi hizo kuzilinda meli za mafuta zinazopita kwenye mlango wa Hormuz ili zisishambuliwe na Iran. Trump alisema wazi kuwa hahitaji nchi yoyote kuisaidia kwenye vita yake na Iran, zaidi ya kuwaomba Wairan wainuke kuiondoa Serikali dhalimu ya Ayatollah.
Vita ni strategy mkuu ndio maana hata uingereza haijaingia kwenye vita licha ya kambi zake kulengwa.Hawa Houth hii sio kawaida kabisa lazima wamekuwa viwete jeshi Zima haiwezekan baba Yako ( Iran) anachezea kichapo alafu umetulia tu wakati mwanzoni mdogo wako ( Hamas) alivyogaragazwa uliingilia Kati.
Magaidi kivipi? Hapo hapo kuna wapinzani wao yaani PLC/STC wanafadhiliwa na US/Israel ili kuitawala Yemen!!Hao magaidi wa Yemen
Hormuz ni uwanja wa vita, kuomba msaada hapo maana yake ziingie kulipua missile launchers na intercept maroketi ya Iran maana yake zinakua automatically vitani.Marekani haijawahi kuziomba nchi za NATO kuingia kwenye vita dhidi ya Iran, bali iliomba nchi hizo kuzilinda meli za mafuta zinazopita kwenye mlango wa Hormuz ili zisishambuliwe na Iran.
Wairan ambao Trump ameshawaua zaidi ya 3,000?? Haahaaa nyie jamaa mnamezeshwa propaganda za ajabu sanazaidi ya kuwaomba Wairan wainuke kuiondoa Serikali dhalimu ya Ayatollah.