YEREMIA MAGANJA: Sisi ni nchi huru na tutalinda Uhuru wetu wenyewe

NCCR Mageuzi

Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
23
Reaction score
63
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Alhamis Oktoba 01, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Mjini viwanja vya Mwanga Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini ndugu Wiston Andrew Mogha.

Moja ya mambo ambayo ameyazungumza ni pamoja na mataifa ya nje kuacha kuingilia mataifa mengine akisema kuwa kamwe nchi nchi yetu hatutaruhusu kuwa miongoni mwa mataifa yaliyoanguka.

"Hatutaruhusu nchi yetu kuwa miongoni mwa mataifa yaliyoanguka, sisi ni nchi huru na tutalinda uhuru wetu kwa sasa na vizazi vyetu"-Alisema ndugu Yeremia Maganja

Mbali na hilo ndugu Yeremia Kulwa maganja ametaja kuwa moja ya maadui wanaoitesa nchi yetu ni pamoja na Udini na Ukanda, akisema kuwa katika maadui kama hawa niw azi taifa haliwezi kuendelea na hivyo kutyuletea shida katika masuala ya uongozi.

Aidha mgombea Urais ndugu Yeremia Maganja amesikitishwa kuona haki za kimsingi (Haki za kijamii na kisiasa) zinavyorugwa na kuwapa mamlaka kundi la watu wachache ambao ndio wanaotuongoza.

"Tumekuwa na shida na mabo yeti ya kijamii, haki za kijamii na kisiasa zimevurugwa kabisa, imekuwa ni matakwa ya mtu au kikundi cha watu"-Alisema Ndugu Yeremia Maganja
4.png

2.png
 
Attachments

  • 4.png
    4.png
    176.6 KB · Views: 15
Huyu kawasaliti wananchi kwa UBWABWA wa ikulu hivi mabeberu wakimtaka kweli huyu hatamsaliti mlisha UBWABWA?

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ujinga mwingine ni wa kufichwa, unazungmzia uhuru upi wakati Miaka mitano mmepigwa marufuku kufanya siasa.

Uhuru wakati vyombo vya habari na waandishi wanafungiwa, kushtakiwa, kutwkwa na kuteswa kwa sababu ya kukosoa. Kuna vyombo vilifungiwa kwa kurusha tu habari ya BBCSwahili iliyokuwa ikimhoji mgombea Urais wa upinzani.
 
Hizi ndio hotuba bwana slow slow anazitaka
 
Ujinga mwingine ni wa kufichwa, unazungmzia uhuru upi wakati Miaka mitano mmepigwa marufuku kufanya siasa.

Uhuru wakati vyombo vya habari na waandishi wanafungiwa, kushtakiwa, kutwkwa na kuteswa kwa sababu ya kukosoa. Kuna vyombo vilifungiwa kwa kurusha tu habari ya BBCSwahili iliyokuwa ikimhoji mgombea Urais wa upinzani.

Huyu ni mgombea wa Mbatia, hawa ni wale Magufuli aliwaingiza chaka eti atawafanya chama kikuu cha upinzani. Bahati mbaya wako upinzani lakini hawajui wapiga kura wa upinzani wanataka nini. Ni vyema NCCR wakajiunga ccm tu maana kupata kura za wapinzani ni mtihani.
 
Naona NCCR wapo katika maandalizi ya kuunda kambi rasmi ya Upinzani Bungeni.
 
Ujinga mwingine ni wa kufichwa, unazungmzia uhuru upi wakati Miaka mitano mmepigwa marufuku kufanya siasa.

Uhuru wakati vyombo vya habari na waandishi wanafungiwa, kushtakiwa, kutwkwa na kuteswa kwa sababu ya kukosoa. Kuna vyombo vilifungiwa kwa kurusha tu habari ya BBCSwahili iliyokuwa ikimhoji mgombea Urais wa upinzani.
Alafu mnataka uraisi..si mtatuuza nyie kwa hawa wakoloni mambo leo.
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Alhamis Oktoba 01, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Mjini viwanja vya Mwanga Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini ndugu Wiston Andrew Mogha.

Moja ya mambo ambayo ameyazungumza ni pamoja na mataifa ya nje kuacha kuingilia mataifa mengine akisema kuwa kamwe nchi nchi yetu hatutaruhusu kuwa miongoni mwa mataifa yaliyoanguka.

"Hatutaruhusu nchi yetu kuwa miongoni mwa mataifa yaliyoanguka, sisi ni nchi huru na tutalinda uhuru wetu kwa sasa na vizazi vyetu"-Alisema ndugu Yeremia Maganja

Mbali na hilo ndugu Yeremia Kulwa maganja ametaja kuwa moja ya maadui wanaoitesa nchi yetu ni pamoja na Udini na Ukanda, akisema kuwa katika maadui kama hawa niw azi taifa haliwezi kuendelea na hivyo kutyuletea shida katika masuala ya uongozi.

Aidha mgombea Urais ndugu Yeremia Maganja amesikitishwa kuona haki za kimsingi (Haki za kijamii na kisiasa) zinavyorugwa na kuwapa mamlaka kundi la watu wachache ambao ndio wanaotuongoza.

"Tumekuwa na shida na mabo yeti ya kijamii, haki za kijamii na kisiasa zimevurugwa kabisa, imekuwa ni matakwa ya mtu au kikundi cha watu"-Alisema Ndugu Yeremia Maganja
View attachment 1588026
View attachment 1588027
Hajui anaongea nini.
Huwezi kusema sisi ni nchi huru halafu hapohapo unasema haki za kijamii zimevurugwa.

Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Alhamis Oktoba 01, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Mjini viwanja vya Mwanga Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini ndugu Wiston Andrew Mogha.

Moja ya mambo ambayo ameyazungumza ni pamoja na mataifa ya nje kuacha kuingilia mataifa mengine akisema kuwa kamwe nchi nchi yetu hatutaruhusu kuwa miongoni mwa mataifa yaliyoanguka.

"Hatutaruhusu nchi yetu kuwa miongoni mwa mataifa yaliyoanguka, sisi ni nchi huru na tutalinda uhuru wetu kwa sasa na vizazi vyetu"-Alisema ndugu Yeremia Maganja

Mbali na hilo ndugu Yeremia Kulwa maganja ametaja kuwa moja ya maadui wanaoitesa nchi yetu ni pamoja na Udini na Ukanda, akisema kuwa katika maadui kama hawa niw azi taifa haliwezi kuendelea na hivyo kutyuletea shida katika masuala ya uongozi.

Aidha mgombea Urais ndugu Yeremia Maganja amesikitishwa kuona haki za kimsingi (Haki za kijamii na kisiasa) zinavyorugwa na kuwapa mamlaka kundi la watu wachache ambao ndio wanaotuongoza.

"Tumekuwa na shida na mabo yeti ya kijamii, haki za kijamii na kisiasa zimevurugwa kabisa, imekuwa ni matakwa ya mtu au kikundi cha watu"-Alisema Ndugu Yeremia Maganja
View attachment 1588026
View attachment 1588027
Mgombea urais wa NCCR alipofika Kigoma aliomba atafutiwe Guest House ya Buku Ishirini na wenzake wa tano watafutiwe vyumba vya Buku kumi kumi.
Aliingia Kigoma kimya kimya, hakuwa hata hela ya kuandaa mkutano, akakomaa na wagombea udiwani wagharamie mikutano akapige huko kwenye kata zao na wao wako wakamwambia hawana hela
 
Naona NCCR wapo katika maandalizi ya kuunda kambi rasmi ya Upinzani Bungeni.
Nccr wamepotea sana. Hao mama tanzania.. na wenzie. Walipohikanyaga na kuamini kuwa watapewa viti.. wameumia. Na hawapati chochote.
 
Alafu mnataka uraisi..si mtatuuza nyie kwa hawa wakoloni mambo leo.
Hao waliokupa Tril 1 kusomesha watoto wa kike? Basi bora wao kuliko wanaochota hazina kujenga viwanja vya kimataifa kijijini kwao
 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Alhamis Oktoba 01, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Mjini viwanja vya Mwanga Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini ndugu Wiston Andrew Mogha.

Moja ya mambo ambayo ameyazungumza ni pamoja na mataifa ya nje kuacha kuingilia mataifa mengine akisema kuwa kamwe nchi nchi yetu hatutaruhusu kuwa miongoni mwa mataifa yaliyoanguka.

"Hatutaruhusu nchi yetu kuwa miongoni mwa mataifa yaliyoanguka, sisi ni nchi huru na tutalinda uhuru wetu kwa sasa na vizazi vyetu"-Alisema ndugu Yeremia Maganja

Mbali na hilo ndugu Yeremia Kulwa maganja ametaja kuwa moja ya maadui wanaoitesa nchi yetu ni pamoja na Udini na Ukanda, akisema kuwa katika maadui kama hawa niw azi taifa haliwezi kuendelea na hivyo kutyuletea shida katika masuala ya uongozi.

Aidha mgombea Urais ndugu Yeremia Maganja amesikitishwa kuona haki za kimsingi (Haki za kijamii na kisiasa) zinavyorugwa na kuwapa mamlaka kundi la watu wachache ambao ndio wanaotuongoza.

"Tumekuwa na shida na mabo yeti ya kijamii, haki za kijamii na kisiasa zimevurugwa kabisa, imekuwa ni matakwa ya mtu au kikundi cha watu"-Alisema Ndugu Yeremia Maganja
View attachment 1588026
View attachment 1588027
weka picha ya wananchi wanaomsikiliza kwenye huu mkutano.
 
Back
Top Bottom