Yericko Nyerere alia na unafiki wa Prof. Anna Tibaijuka

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
7,835
Reaction score
8,703
YERICKO NYERERE ALIA NA UNAFIKI WA PROF. ANNA TIBAIJUKA.
HII NI COPY AND PASTE WADAU, ... NINAWASILISHA!

Yericko Nyerere kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:
·
Nchi hii unafiki ni asili ya Mtanzania na pengine ngozi yeusi yote duniani unafiki hautaisha kamwe, Fikiria Prof Anna Tibaijuka huku Bongo anashambulia serikali kwa kila aina ya maneno makali na malaini akiita ni ya kidikteta na kutaka Tundu Lissu achiwe maramoja, Jambo ambalo tunauhuru wa kumuunga mkono!

Lakini legeza fuvu lako, Prof Anna Tibaijuka huyu huyu wiki hii yuko nchini Uganda na amepokelewa kirais (presidential visit) akisifiwa kwa bashasha na ndugu yake kipenzi Rais Museveni ambae yeye huko Uganda upinzani ni kama umepigwa marufuku kabisa, Kiongozi wa Upinzani Uganda Dr Kiza Besyge anamaliza mwaka wa tatu kasoro yuko jela kwa kesi inayofanana na ya Lissu maana zote ni za Uhaini na anaweza kufia jela kw maradhi kwakuwa juzi akiwa mahakamani akipinga mwenendo wa kesi yake, alianguka na kuzimia hadi sasa bado yuko ICU.....

Kwamjibu wa taarifa ya Rais Mseven aliyoipost katika mtandao wa X, alisema ziara ya Prof Tibaijuka ililenga kuzungumza uhusiano wa nchi hizi mbili Tanzania na Uganda, Pia walijadili uhusiano wa Vyama tawala vya NMR Uganda na CCM Tanzania. Kwahiyo ziara hii haikuhusu kuzungumzia masuala ya Tundu Lissu wala Kizza Besyge na kesi zao za Uhaini.

Narudi nyuma, namkumbuka Mzee Butiku juzi tu amewaasa vijana akiwaambia sio kila mtu wa kumsikiliza katika nchi hii, akasisitiza Msikilizeni Rais Samia tu ndie mbeba maono wa nchi yetu….Fikiria wanaomsokiliza na kumwamini Prof Tibaijuka wanajionaje kwa hiki anachofanya? Kwamba anakwazika yanayotendeka Tanzania, kisha afurahia kwa yanayotokea Uganda, Yaani kwa matendo yaleyale yanayofanana???

Politics ni game ya interest, Si wote wanaomwita Bwana Bwana watauona ufalme wa Mbinguni,

Idumu Mizimu!
Na Yericko Nyerere

1786685923748.png

1786687009200.png
 
sijelewa, kosa liko wapi hapo kwenye hiyo ziara? museveni ni raisi wa uganda kama hiyo habari inavyosema kamualika Ana Tibaijuka kuna tatito gani hapo? huo unafiki unaongelewa uko wapi hapo?

watanzagiza wengi ni watoto na sielwi ni kwa nini hata wanapewa hadhi na majukwaa makubwa kuaongea, kwa hiyo alitaka Ana Tibaijuka anunianie na museveni? kila tatizo linatattuliwa kwa mazungumzo na siyo gubu na kununiana, hayo ni mambo ya watoto wa kinder garten ...
 
YERICKO NYERERE ALIA NA UNAFIKI WA PROF. ANNA TIBAIJUKA.
HII NI COPY AND PASTE WADAU, ... NINAWASILISHA!

Yericko Nyerere

Hapa aliye mnafiki ni Yeriko NYERERE, Namuamini Mama Tibaijuka, chochote anachofanya ni kwa maslahi ya nchi kwa kuwa ana chembe chembe za uzalendo na misimamo isiyoyumba.
Yeriko ni Opportunist tu hana lolote.
 
YERICKO NYERERE ALIA NA UNAFIKI WA PROF. ANNA TIBAIJUKA.
HII NI COPY AND PASTE WADAU, ... NINAWASILISHA!

Yericko Nyerere kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:
·
Nchi hii unafiki ni asili ya Mtanzania na pengine ngozi yeusi yote duniani unafiki hautaisha kamwe, Fikiria Prof Anna Tibaijuka huku Bongo anashambulia serikali kwa kila aina ya maneno makali na malaini akiita ni ya kidikteta na kutaka Tundu Lissu achiwe maramoja, Jambo ambalo tunauhuru wa kumuunga mkono!

Lakini legeza fuvu lako, Prof Anna Tibaijuka huyu huyu wiki hii yuko nchini Uganda na amepokelewa kirais (presidential visit) akisifiwa kwa bashasha na ndugu yake kipenzi Rais Museveni ambae yeye huko Uganda upinzani ni kama umepigwa marufuku kabisa, Kiongozi wa Upinzani Uganda Dr Kiza Besyge anamaliza mwaka wa tatu kasoro yuko jela kwa kesi inayofanana na ya Lissu maana zote ni za Uhaini na anaweza kufia jela kw maradhi kwakuwa juzi akiwa mahakamani akipinga mwenendo wa kesi yake, alianguka na kuzimia hadi sasa bado yuko ICU.....

Kwamjibu wa taarifa ya Rais Mseven aliyoipost katika mtandao wa X, alisema ziara ya Prof Tibaijuka ililenga kuzungumza uhusiano wa nchi hizi mbili Tanzania na Uganda, Pia walijadili uhusiano wa Vyama tawala vya NMR Uganda na CCM Tanzania. Kwahiyo ziara hii haikuhusu kuzungumzia masuala ya Tundu Lissu wala Kizza Besyge na kesi zao za Uhaini.

Narudi nyuma, namkumbuka Mzee Butiku juzi tu amewaasa vijana akiwaambia sio kila mtu wa kumsikiliza katika nchi hii, akasisitiza Msikilizeni Rais Samia tu ndie mbeba maono wa nchi yetu….Fikiria wanaomsokiliza na kumwamini Prof Tibaijuka wanajionaje kwa hiki anachofanya? Kwamba anakwazika yanayotendeka Tanzania, kisha afurahia kwa yanayotokea Uganda, Yaani kwa matendo yaleyale yanayofanana???

Politics ni game ya interest, Si wote wanaomwita Bwana Bwana watauona ufalme wa Mbinguni,

Idumu Mizimu!
Na Yericko Nyerere

Hajui kuwa Kaguta na Prof. A. K. Tibaijuka ni kaka na dada!!??
Huyo jasusi bamia anajua walichoongea!!?
 
Mjomba Yericko Nyerere, nakubaliana na wewe kwenye hili. Museven naye ni mkandamizaji mashuhuri wa wapinzani ndani ya Uganda. Kuanzia kwa Dr. Kizza Besigye, Bobi Wine, na wengineo wengi!

Lakini jambo hili haliondoi ukweli kwamba, hata wewe mwenyewe ni mnafiki na mchumia tumbo mashuhuri tu nchini. Tangu Boss wako Mbowe alipo ondolewa madarakani na Tundu Lissu, umekuwa mnafiki wa kiwango cha juu sana mjomba. Inawezekana unamzidi hata huyo Prof Anna Tibaijuka.
 
Yerico na kale katoto ka mbowe.
Wanasema Kuna watu wanafaidika kwa lisu kuwa ndani?
Hawasrmi kina nani walifaidika na mbowe freeman kuwa ndani kwa kesi ya ugaidi?
 
..vipi ikiwa Prof.Tibaijuka ameenda kumpigania Dr.Basigye aachiwe huru?

..Mwalimu Nyerere kuna wakati alikutana na Dikteta Gen.Sani Abacha akimsihi awaachie wafungwa wa kisiasa wa Nigeria.

..Uzuri ni kwamba Prof.Tibaijuka anafikika , hivyo tusubiri majibu yake kuhusu kilichomsukuma kuonana na Rais Museveni.
 
sijelewa, kosa liko wapi hapo kwenye hiyo ziara? museveni ni raisi wa uganda kama hiyo habari inavyosema kamualika Ana Tibaijuka kuna tatito gani hapo? huo unafiki unaongelewa uko wapi hapo?

watanzagiza wengi ni watoto na sielwi ni kwa nini hata wanapewa hadhi na majukwaa makubwa kuaongea, kwa hiyo alitaka Ana Tibaijuka anunianie na museveni? kila tatizo linatattuliwa kwa mazungumzo na siyo gubu na kununiana, hayo ni mambo ya watoto wa kinder garten ...

Pengine ujaelewa nini kamaanisha
Y..N.
Kwamba uyo prof Anna Tibaijuka. japo angetoa neno lolote kuusu haki ya Kiza Basigye.

Utu wake unatezwa vibaya zaidi ya uyu Tundu Lissu!!!

Lkn kwangu uyo prof wa Kanisani tumwacheni tu.

mana sidhani kama wapo wenye kumwamini labda kondoo wa Bwanaaaa tu kupitia unafiki wao.✍️
 
Toka kaita milioni 10 pesa ya mboga nilishamtoa kichwani kabisa! Hafai kuitwa prof kabisa❌️
 
Mashekh wa uhamsho wamekaaa ndani miaka na miaka uyo kwenu prof. Anna Tibaijuka
hatukuwai kumsikia kukemea chochote ❗️!

Ukichanganya na kashfa yake wakati ni Waziri

Akatakiwa kujiuzulu✍️

Ukiongeza na kudai milioni 10 pesa za mboga

Kiakili kajimaliza mwenyewe kisiasa

Kwasasa UDINI unamtafuna uyo Mama wa nyumba.
 
Anna Tibaijuka bado Anapenda sifa za Kiserikali❗️
yeye kaenda uko Uganda kama raia kawaida sio mwakiilishi wa Serikali wala ajatumwa na yoyote uko Uganda
labda Kama Chadema wamtume✍️
 
Back
Top Bottom