Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,835
- 8,703
Nyani haoni kundule..Yericko Nyerere
·
Nchi hii unafiki ni asili ya Mtanzania na pengine ngozi yeusi yote duniani unafiki hautaisha kamwe..
Hapa aliye mnafiki ni Yeriko NYERERE, Namuamini Mama Tibaijuka, chochote anachofanya ni kwa maslahi ya nchi kwa kuwa ana chembe chembe za uzalendo na misimamo isiyoyumba.YERICKO NYERERE ALIA NA UNAFIKI WA PROF. ANNA TIBAIJUKA.
HII NI COPY AND PASTE WADAU, ... NINAWASILISHA!
Yericko Nyerere
·
Nchi hii unafiki ni asili ya Mtanzania na pengine ngozi yeusi yote duniani unafiki hautaisha kamwe, Fikiria Prof Anna Tibaijuka huku Bongo anashambulia serikali kwa kila aina ya maneno makali na malaini akiita ni ya kidikteta na kutaka Tundu Lissu achiwe maramoja, Jambo ambalo tunauhuru wa kumuunga mkono!
Lakini legeza fuvu lako, Prof Anna Tibaijuka huyu huyu wiki hii yuko nchini Uganda na amepokelewa kirais (presidential visit) akisifiwa kwa bashasha na ndugu yake kipenzi Rais Museveni ambae yeye huko Uganda upinzani ni kama umepigwa marufuku kabisa, Kiongozi wa Upinzani Uganda Dr Kiza Besyge anamaliza mwaka wa tatu kasoro yuko jela kwa kesi inayofanana na ya Lissu maana zote ni za Uhaini na anaweza kufia jela kw maradhi kwakuwa juzi akiwa mahakamani akipinga mwenendo wa kesi yake, alianguka na kuzimia hadi sasa bado yuko ICU.....
Kwamjibu wa taarifa ya Rais Mseven aliyoipost katika mtandao wa X, alisema ziara ya Prof Tibaijuka ililenga kuzungumza uhusiano wa nchi hizi mbili Tanzania na Uganda, Pia walijadili uhusiano wa Vyama tawala vya NMR Uganda na CCM Tanzania. Kwahiyo ziara hii haikuhusu kuzungumzia masuala ya Tundu Lissu wala Kizza Besyge na kesi zao za Uhaini.
Narudi nyuma, namkumbuka Mzee Butiku juzi tu amewaasa vijana akiwaambia sio kila mtu wa kumsikiliza katika nchi hii, akasisitiza Msikilizeni Rais Samia tu ndie mbeba maono wa nchi yetu….Fikiria wanaomsokiliza na kumwamini Prof Tibaijuka wanajionaje kwa hiki anachofanya? Kwamba anakwazika yanayotendeka Tanzania, kisha afurahia kwa yanayotokea Uganda, Yaani kwa matendo yaleyale yanayofanana???
Politics ni game ya interest, Si wote wanaomwita Bwana Bwana watauona ufalme wa Mbinguni,
Idumu Mizimu!
Na Yericko Nyerere
Hajui kuwa Kaguta na Prof. A. K. Tibaijuka ni kaka na dada!!??YERICKO NYERERE ALIA NA UNAFIKI WA PROF. ANNA TIBAIJUKA.
HII NI COPY AND PASTE WADAU, ... NINAWASILISHA!
Yericko Nyerere kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:
·
Nchi hii unafiki ni asili ya Mtanzania na pengine ngozi yeusi yote duniani unafiki hautaisha kamwe, Fikiria Prof Anna Tibaijuka huku Bongo anashambulia serikali kwa kila aina ya maneno makali na malaini akiita ni ya kidikteta na kutaka Tundu Lissu achiwe maramoja, Jambo ambalo tunauhuru wa kumuunga mkono!
Lakini legeza fuvu lako, Prof Anna Tibaijuka huyu huyu wiki hii yuko nchini Uganda na amepokelewa kirais (presidential visit) akisifiwa kwa bashasha na ndugu yake kipenzi Rais Museveni ambae yeye huko Uganda upinzani ni kama umepigwa marufuku kabisa, Kiongozi wa Upinzani Uganda Dr Kiza Besyge anamaliza mwaka wa tatu kasoro yuko jela kwa kesi inayofanana na ya Lissu maana zote ni za Uhaini na anaweza kufia jela kw maradhi kwakuwa juzi akiwa mahakamani akipinga mwenendo wa kesi yake, alianguka na kuzimia hadi sasa bado yuko ICU.....
Kwamjibu wa taarifa ya Rais Mseven aliyoipost katika mtandao wa X, alisema ziara ya Prof Tibaijuka ililenga kuzungumza uhusiano wa nchi hizi mbili Tanzania na Uganda, Pia walijadili uhusiano wa Vyama tawala vya NMR Uganda na CCM Tanzania. Kwahiyo ziara hii haikuhusu kuzungumzia masuala ya Tundu Lissu wala Kizza Besyge na kesi zao za Uhaini.
Narudi nyuma, namkumbuka Mzee Butiku juzi tu amewaasa vijana akiwaambia sio kila mtu wa kumsikiliza katika nchi hii, akasisitiza Msikilizeni Rais Samia tu ndie mbeba maono wa nchi yetu….Fikiria wanaomsokiliza na kumwamini Prof Tibaijuka wanajionaje kwa hiki anachofanya? Kwamba anakwazika yanayotendeka Tanzania, kisha afurahia kwa yanayotokea Uganda, Yaani kwa matendo yaleyale yanayofanana???
Politics ni game ya interest, Si wote wanaomwita Bwana Bwana watauona ufalme wa Mbinguni,
Idumu Mizimu!
Na Yericko Nyerere
sijelewa, kosa liko wapi hapo kwenye hiyo ziara? museveni ni raisi wa uganda kama hiyo habari inavyosema kamualika Ana Tibaijuka kuna tatito gani hapo? huo unafiki unaongelewa uko wapi hapo?
watanzagiza wengi ni watoto na sielwi ni kwa nini hata wanapewa hadhi na majukwaa makubwa kuaongea, kwa hiyo alitaka Ana Tibaijuka anunianie na museveni? kila tatizo linatattuliwa kwa mazungumzo na siyo gubu na kununiana, hayo ni mambo ya watoto wa kinder garten ...
Yericko Nyerere ndiye yule houseboy wa Sultan Mbowe?
QmmakoKumbu
John Heche alikuwa kule ndugu punguza maneno kumuokoa Makam mwenyekiti wenu🤠