Yericko Nyerere aonyesha uzalendo kwa kupongeza mambo makubwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya 6

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Kina Erythrocyte na Mdude wana jambo la kujifunza.
Yericko kaandika hivi huko Facebook;

Kuna juhudi flani za kiuchumi katika ukanda zinazofanywa na Tanzania zinanifanya nipongeze mfumo kwa kiasi chake, katika hili nasema hongera sana Tanzania!

Sasa tupambane miundombinu kama SGR ifike Kongo na ruti za ndege @airtanzania_atcl ziimarishwe ipasavyo, DRC ni injini ya Uchumi wa Tanzania tuilinde kwa nguvu zetu zote!

 
Hakuna mzalendo Tanzania, Kuna wanyanyasika, na wanyanyasaji, full stop.
 
Mdude na Lema ni manyumbu waliopitiliza kuna ambae cha kushangaza ni msomi ila anaelekea huku kwa akina lema anitwa Malisa
 
Mdude na Lema ni manyumbu waliopitiliza kuna ambae cha kushangaza ni msomi ila anaelekea huku kwa akina lema anitwa Malisa
Wasomi bongo? Nimecheka vibaya, kama maprofessor wanasema wametoka jalalani, unapata wapi nguvu ya kusema wasomi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…