Mkuu
chiembe, Nathibitiaha, Yes Mkuu wa Zikomo alifika Mbutu Block E, Kigamboni kwa lengo moja tu, Kukagua na kujiridhisha mshiriki wa tuzo ya Kiongozi Bora wa Kijamiii ni kiongozi kweli wa kijamii au laa kama vigezo vya tuzo vinavyotaka, Alitembelea nchi 8 zote za washiriki wa tuzo hiyo na kukutana nao ana kwa ana kabla ya utoaji tuzo hizo…. Akajiridhisha Yericko ni mwanasiasa, ni kiongozi wa kisiasa, na mwanaharakati wa kijamii…. Hivyo nikakidhi vigezo na mwisho nimeshinda tuzo hiyo ya The Community Leader of the Year 2024.