Yericko Nyerere ashinda tuzo mbili kwa mpigo Afrika 2024

Ila kina Doto Magari , Steve Mengele wengine wa samuli hiyo ndio wanasafiri na Rais .
Ndege wafananao huruka pamoja huwezi kumkuta popo anaruka pamoja na yangeyange au kunguru anaruka pamoja na bundi hata siku moja, kwa hio ukiona sampuli zinazobebwa ndio sampuli ambazo Bibi anafanana nazo
 
Mhhhh..... dunia hii!, karudishe picha ulizofuta Instagram sasa, pia umekuwa muungwana kwa kukiri
 
Tuambieni vitabu vya yericko nyerere vinapatikana wapi na kama vipo on line mseme tuvifuatilie nasi tukavisome tujue yaliyoandikwa humo mpaka akapata tuzo
 
Tuambieni vitabu vya yericko nyerere vinapatikana wapi na kama vipo on line mseme tuvifuatilie nasi tukavisome tujue yaliyoandikwa humo mpaka akapata tuzo
Anaviuza mkononi mpigie simu ila bei yake sio ya madafu
 
Tuambieni vitabu vya yericko nyerere vinapatikana wapi na kama vipo on line mseme tuvifuatilie nasi tukavisome tujue yaliyoandikwa humo mpaka akapata tuzo
OFA YA TUZO.

PATA VITABU BORA AFRIKA.

1. Kitabu cha UJASUSI kwa OFA YA TUZO 30,000 tu badala ya bei halisi ya 80,000/=.

Kurasa 776
Marejeo 330

2. Kitabu cha “MOSCOW: Oparesheni Ukraine” kwa OFA YA TUZO 140,000 tu badala ya bei halisi ya 150,000/= tu

Kurasa 1,400
Sura 1-14,
Marejeo 389

Nunua kwa:
Lipa Tigo 7489022
Lipa Voda 5352627

M-Pesa. 0755865544
TIGOPESA 0715865544

CRDB BANK AC No 0152241955000 (YERICKO YOHANESY NYERERE).

Kwa Dar ni free delivery
Nje ya Dar nauli 8,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…