MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Dec 7, 2024 #41 TANMO said: Mkuu usikubali. Andika kitabu na wewe ushinde Click to expand... Wote hatuwezi kuwa waandishi. Pia Yericko kakopi maandishi ya watu wengi na kuyaweka pamoja kisha kuwa kitabu.
TANMO said: Mkuu usikubali. Andika kitabu na wewe ushinde Click to expand... Wote hatuwezi kuwa waandishi. Pia Yericko kakopi maandishi ya watu wengi na kuyaweka pamoja kisha kuwa kitabu.
Angel Nylon JF-Expert Member Joined Jul 26, 2011 Posts 9,164 Reaction score 18,402 Dec 7, 2024 #42 Nimejifunza msamiati mpya, chawa kwa kinge ni 'chawaz'
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Dec 7, 2024 #43 MamaSamia2025 said: Wote hatuwezi kuwa waandishi. Pia Yericko kakopi maandishi ya watu wengi na kuyaweka pamoja kisha kuwa kitabu. Click to expand... Ache wivu. Hizo zinaitwa Rejea. Amesoma References zaidi ya 300 ambazo ame credit. This is Creative Writing. Kama una akili za simba na yanga huwezi kuandika hata page tano.
MamaSamia2025 said: Wote hatuwezi kuwa waandishi. Pia Yericko kakopi maandishi ya watu wengi na kuyaweka pamoja kisha kuwa kitabu. Click to expand... Ache wivu. Hizo zinaitwa Rejea. Amesoma References zaidi ya 300 ambazo ame credit. This is Creative Writing. Kama una akili za simba na yanga huwezi kuandika hata page tano.