Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Yericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani.
Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa maandamano hayo si ya kawaida ya kikatiba na kuhusisha harakati hizo na mpango wa kisiasa unaoweza kuhatarisha utulivu wa nchi. "Hawa wanajipanga kwa jaribio lingine la mapinduzi baada ya kufeli tarehe 29 Oktoba na kusababisha mauaji makubwa,"
Pia soma PostGE2025 - Yericko Nyerere: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio la MAPINDUZI LILILOFELI
Hadi kufikia sasa, viongozi wakuu wa CHADEMA hawajatoa kauli rasmi kujibu tuhuma hizo, huku kukiwa na mivutano ya kimaoni miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za kidijitali nchini.