Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Aanzishe chama chake cha siasaYericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani.
Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa maandamano hayo si ya kawaida ya kikatiba na kuhusisha harakati hizo na mpango wa kisiasa unaoweza kuhatarisha utulivu wa nchi. "Hawa wanajipanga kwa jaribio lingine la mapinduzi baada ya kufeli tarehe 29 Oktoba na kusababisha mauaji makubwa,"
Pia soma PostGE2025 - Yericko Nyerere: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio la MAPINDUZI LILILOFELI
Hadi kufikia sasa, viongozi wakuu wa CHADEMA hawajatoa kauli rasmi kujibu tuhuma hizo, huku kukiwa na mivutano ya kimaoni miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za kidijitali nchini.
MhhhYericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani.
Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa maandamano hayo si ya kawaida ya kikatiba na kuhusisha harakati hizo na mpango wa kisiasa unaoweza kuhatarisha utulivu wa nchi. "Hawa wanajipanga kwa jaribio lingine la mapinduzi baada ya kufeli tarehe 29 Oktoba na kusababisha mauaji makubwa,"
Pia soma PostGE2025 - Yericko Nyerere: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio la MAPINDUZI LILILOFELI
Hadi kufikia sasa, viongozi wakuu wa CHADEMA hawajatoa kauli rasmi kujibu tuhuma hizo, huku kukiwa na mivutano ya kimaoni miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za kidijitali nchini.
Yericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani.
Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa maandamano hayo si ya kawaida ya kikatiba na kuhusisha harakati hizo na mpango wa kisiasa unaoweza kuhatarisha utulivu wa nchi. "Hawa wanajipanga kwa jaribio lingine la mapinduzi baada ya kufeli tarehe 29 Oktoba na kusababisha mauaji makubwa,"
Pia soma PostGE2025 - Yericko Nyerere: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio la MAPINDUZI LILILOFELI
Hadi kufikia sasa, viongozi wakuu wa CHADEMA hawajatoa kauli rasmi kujibu tuhuma hizo, huku kukiwa na mivutano ya kimaoni miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za kidijitali nchini.
Limeongea kule X zwazwaTuwekee hiyo post yake hapa kabla hatujaanza kuhukumu kumbe ameongea au ameandika kitu tofauti.
Tuwekee hiyo post yake hapa kabla hatujaanza kuhukumu kumbe ameongea au ameandika kitu tofauti.
Yule jamaa anakaribia kupoteza mwelekeo.Limeongea kule X zwazwa
Ni kweli ameandika , Yericko amezikwa kabla hajafaTuwekee hiyo post yake hapa kabla hatujaanza kuhukumu kumbe ameongea au ameandika kitu tofauti.
Ankali T wa Mbutu.Yericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani.
Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa maandamano hayo si ya kawaida ya kikatiba na kuhusisha harakati hizo na mpango wa kisiasa unaoweza kuhatarisha utulivu wa nchi. "Hawa wanajipanga kwa jaribio lingine la mapinduzi baada ya kufeli tarehe 29 Oktoba na kusababisha mauaji makubwa,"
Pia soma PostGE2025 - Yericko Nyerere: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio la MAPINDUZI LILILOFELI
Hadi kufikia sasa, viongozi wakuu wa CHADEMA hawajatoa kauli rasmi kujibu tuhuma hizo, huku kukiwa na mivutano ya kimaoni miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za kidijitali nchini.
Amevurugwa na maisha.Ni kweli ameandika , Yericko amezikwa kabla hajafa
Anatia aibu kibwege sanaAmevurugwa na maisha.
Huyu bado kuolewa tu....maana haya ni maneno ya mtu aliyekosa mume...mume wake alikuwa Chadema, sasa kaikosa Chadema na Chauma ni impotent sasa anatafuta mume Yericko NyerereYericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani.
Kupitia mtandao wa X, Yericko amedai kuwa maandamano hayo si ya kawaida ya kikatiba na kuhusisha harakati hizo na mpango wa kisiasa unaoweza kuhatarisha utulivu wa nchi. "Hawa wanajipanga kwa jaribio lingine la mapinduzi baada ya kufeli tarehe 29 Oktoba na kusababisha mauaji makubwa,"
Pia soma PostGE2025 - Yericko Nyerere: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio la MAPINDUZI LILILOFELI
Hadi kufikia sasa, viongozi wakuu wa CHADEMA hawajatoa kauli rasmi kujibu tuhuma hizo, huku kukiwa na mivutano ya kimaoni miongoni mwa wafuatiliaji wa siasa za kidijitali nchini.
asithubutu mamluki yeyeto kujitia kimbelembele kuchezea amani na umoja wa taifa letu 🐒Yericko Nyerere amevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuwa macho na viashiria vya maandamano anayodai yanaweza kuwa na mpango wa kuhatarisha amani.