PostGE2025 Yericko Nyerere: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio la MAPINDUZI LILILOFELI

PostGE2025 Yericko Nyerere: Kilichotokea Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio la MAPINDUZI LILILOFELI

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Anandika kada wa CHAUMMA yericko nyerere.......................

Kwa maoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimanti na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!
1762336683127.png
 
Kwamaoni yangu, kilichotokea 29/10/2025 lilikuwa JARIBIO LA MAPINDUZI LILILOFELI. Kila nikitazama tafsiri ya “maandamano ya umma” inakataa kukaa kwenye tukio la siku ile. Kwamba ni fujo linakosa nguvu ya kimanti na kivitendo, Kwamba ni uasi, bado halikai sawa, Kwamba ni Ugaidi kidogo lakini halileti maana nzuri.

Maana inayokaa sawa kwa maoni yangu ni “Jaribio la mapinduzi”. Labda kwa kupunguza mafuta unaweza kusema mapinduzi ya umma, lakini ni kweli ya umma? Bado inakosa nguvu. Ibaki kuwa lilikuwa jaribio la mapindizi yaliyofeli.

Swali la msingi, Je unajua serikali iliyonusurika kupinduliwa namna na staili inavyorejea kitini na kuongoza nchi kwa aina yake? Majuto ni mjukuu kwa waliopanga mapinduzi hayo

Poleni mliofikwa na janga hili. Tuilinde nchi yetu kwa gharama yoyote! Tuwalinde watu wetu kwa gharama yoyote!
pumbavu
 
Kuna watu inabidi waandae mawakili wabobevu kwa sababu muda sio mrefu wanakamatwa kwa kesi za uhaini na ugaidi. Watajuta.
 
Njaa ya akili ni mbaya sana haimaliziki hadi unapoingia kaburini
 
Back
Top Bottom