King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Sikujua kwamba Chahali ana miaka kati ya 68 hadi 70.
Watu hawaelewi kati ya Afisa Usalama na Informers, mtu akijulikana tu ni Usalama wa Taifa tayari asilimia ya kuishi maisha yake inabaki 20% kama sio sifuri kabisa.Bro niamimi hao ni informers tu. Afisa wa usalama huwezi mjua na hawasemi maana wamekula kiapo
Watu wanadhani ni rahisi, kuna mwaka maafisa wa serikali walikua wanakufa sana kwa ajali mwaka wa magufuli, magu alikua anajua skendo zote na Almost kila mwezi Wengi walikuwa usalama wanamalizwa kwa ajali.Ivi watu wanadhani unaweza aukatoka tu ukajitangaza, aiseee… kuna wakati tra waliondoka washkaji 5 mwezi mmoja. Walivokufa ndo ikajulikana wote ni nyoka, mtu mmoja tu aliwatambua wakamalizwa wote wanaishi na roho mkononiWatu hawaelewi kati ya Afisa Usalama na Informers, mtu akijulikana tu ni Usalama wa Taifa tayari asilimia ya kuishi maisha yake inabaki 20% kama sio sifuri kabisa.