GE2025 Yericko Nyerere na siasa za undumila kuwili!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MWANAHARAMU

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
5,350
Reaction score
13,622
Habari zenu member wa JamiiForums.

Baada ya salaam ashakum si matusi, niluke moja kwa moja kwenye mada.

Sifa kuu ya kiongozi yoyote yule ni misimamo iwe ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kijiopolitiki.

Sasa bwana Yericko kwenye siasa za ndani ya nchi amekuwa han misimamo, bendera fuata upepona msaliti wa chama chake iwe wazi wazi au kisiri Siri.

Ulikuwa Chadema kwa Kuamini fikra sahihi za mwenyekiti aliyepita? au ilani ya madhubuti ya chama au mjasiliamali kwenye siasa?

Maana Sasa unapoteza heshima ikiwa wewe ulikuwa mmoja kati ya strategist wa chama na mtu uliye aminika kwa misimamo yako.

Sasa kwenda Chauma imetokana na nini:
1)Maslahi yamekata?
2)Unamfata your Master?
3)Sera, Ilani na mipango ya Chadema imebadilika?
4)Hauna nafasi ya kusikiliza?
5)Ulikuwa pandikizi toka mwanzo hivyo unaenda kuanza new mission kwenye chama kipya
6) Siasa kwako ni fursa ya kujineemesha na kujulikana?
 
IMG-20250122-WA0074.jpg
 
freeman MBOWE kamuamuru Yericko Nyerere aripoti haraka sana CHAma cha Ubwabwa Maharage
 
Back
Top Bottom